babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
thubutuu nani aache 155 achukue mil 2?hata mi siachi weehyap, ila mdau alidhani kwamba umebeba 157million umeenda kulipia mjengo, halafu getini wakupore 2mil. halafu waache 155mil., ndio akashauri eti manunuzi yafanyike online, 😂😂