Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
485sqm ni kidogo sana. nyumba ni bora ila ilitakiwa iwe pakwabwa kwa 155m. minimum 80sqmUdogo wake nn..na nyumba imeenea na parking ipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
485sqm ni kidogo sana. nyumba ni bora ila ilitakiwa iwe pakwabwa kwa 155m. minimum 80sqmUdogo wake nn..na nyumba imeenea na parking ipo...
Inauzwa nymba sio kiwanja... Wewe unaangalia thaman ya nyumba kw ukubwa eneo485sqm ni kidogo sana. nyumba ni bora ila ilitakiwa iwe pakwabwa kwa 155m. minimum 80sqm
Eneo la kiwanja linamchango mkubwa sana wa thamani ya kiwanja. Kiwanja ndiyo kila kitu, hata hati ni ya kiwanja.Inauzwa nymba sio kiwanja... Wewe unaangalia thaman ya nyumba kw ukubwa eneo
Sqm 800 mbezi africana ni milioni 200Eneo la kiwanja linamchango mkubwa sana wa thamani ya kiwanja. Kiwanja ndiyo kila kitu, hata hati ni ya kiwanja.
aiseeeeMkuu huyu dalali
kwakweliiMuombe Mungu akupe ulinzi
Kabisa ndio nilichamaanisha.Sawa, tufanye wanaiba milioni 2 halafu millioni 155 wanaiacha wakati anaenda kulipa, maana watamuonea huruma kuchukua zote, hivyo alipe tu kupitia online.
Hutaki kuharibu biashara za watu na huku umeshusha gazeti...Sitaki kuharibu biashara za watu lakini yeyote anayetaka kununua Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa maeneo ya Kidomole na Fukayose ni muhimu achukue tahadhari ya hali ya juu sana kutokana na utapeli uliokithiri wa mashamba na ardhi kwa ujumla unaofanywa na kundi lenye mtandao mkubwa wa kuibia watu
Kwanza wanakuonyesha shamba zuuri sana halafu bei inakushawishi kwasababu wanaweka ya chini kupita maelezo. Pili biashara husika itafanyika ndani ya ofisi ya serikali ya mtaa/Kijiji na utaonyeshwa Mwenyekiti, Katibu na Wajumbe wa serikali ya mtaa/Kijiji ambao watashuhudia na kukuthibitishia kua eneo husika ni la huyo anayekuuzia
Baada ya kutoa pesa na kuandikishiana siku chache mbele watatokea watu kutaka kuendeleza au kulima eneo/shamba ulilouziwa. Wanakwambia hilo ni shamba lao miaka na miaka na kwamba wewe umetapeleiwa!!! Ukienda ofisi mloandikishiana unakutana na sura mpya na watawakana wote mnaowaulizia kua hawajulikani hapo! Kumbuka maeneo mengi ya huko yanamilikiwa na watu na YAMESHAPIMWA
Jamaa wa huko ni washirikina kupindukia!. Inasemekana mnunuzi akishaondoka wanachota mchanga wa nyayo zake alipokanyaga na kupeleka ulozini. Asilimia kubwa ya wanaotapeliwa hawakanyagi tena maeneo hayo baada ya kufanya hivyo maramoja au mbili! Kesi nyingi za migogoro ya Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa katika maeneo ya Mapinga, Kerege, Kidomole na Fukayose ama hazimaliziki au zinafutwa kutokana na walalamikaji(waliotapeliwa) kuacha kwenda mahakamani kufutilia mashauri yao
USHAURI: Kwa wale wanaohitaji kununua Ardhi maeneo hayo wapeleke kwanza surveyors waangalie coordinates, wakazi plot kwenye master plan kuona kama eneo husika halina hati miliki. Pili unapoenda serikali ya mtaa hakikisha unafika hadi ofisi ya Mtendaji wa Kata ambaye atawatambua viongozi wa mtaa au Kijiji wanaotaka kusimamia mauzo na kama kweli eneo unalotaka kununua ni la huyo anayetaka kukuuzia
Samahani mleta tangazo na usichukulie kama nataka kuvuruga biashara yako lakini ni muhimu kupeana tahadhari ili kuzuia wengine waisangukie kwenye mikono ileile wanayoangukia watanzania ambao wanatafuta pesa kwa mahangaiko sana
Hutaki kuharibu biashara za watu na huku umeshusha gazeti...
Watu wengine wanashida ndo maana wanauza asset zao.. Si kila biashara ni utapeli
Kwa hiyo hukutaka watu wachukue tahadhari? Kama biashara yako haina hila wala ujanjaujanja huna haja ya kua na wasiwasiHutaki kuharibu biashara za watu na huku umeshusha gazeti...
Watu wengine wanashida ndo maana wanauza asset zao.. Si kila biashara ni utapeli
Ushauri mzuri sana..Sitaki kuharibu biashara za watu lakini yeyote anayetaka kununua Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa maeneo ya Kidomole na Fukayose ni muhimu achukue tahadhari ya hali ya juu sana kutokana na utapeli uliokithiri wa mashamba na ardhi kwa ujumla unaofanywa na kundi lenye mtandao mkubwa wa kuibia watu
Kwanza wanakuonyesha shamba zuuri sana halafu bei inakushawishi kwasababu wanaweka ya chini kupita maelezo. Pili biashara husika itafanyika ndani ya ofisi ya serikali ya mtaa/Kijiji na utaonyeshwa Mwenyekiti, Katibu na Wajumbe wa serikali ya mtaa/Kijiji ambao watashuhudia na kukuthibitishia kua eneo husika ni la huyo anayekuuzia
Baada ya kutoa pesa na kuandikishiana siku chache mbele watatokea watu kutaka kuendeleza au kulima eneo/shamba ulilouziwa. Wanakwambia hilo ni shamba lao miaka na miaka na kwamba wewe umetapeleiwa!!! Ukienda ofisi mloandikishiana unakutana na sura mpya na watawakana wote mnaowaulizia kua hawajulikani hapo! Kumbuka maeneo mengi ya huko yanamilikiwa na watu na YAMESHAPIMWA
Jamaa wa huko ni washirikina kupindukia!. Inasemekana mnunuzi akishaondoka wanachota mchanga wa nyayo zake alipokanyaga na kupeleka ulozini. Asilimia kubwa ya wanaotapeliwa hawakanyagi tena maeneo hayo baada ya kufanya hivyo maramoja au mbili! Kesi nyingi za migogoro ya Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa katika maeneo ya Mapinga, Kerege, Kidomole na Fukayose ama hazimaliziki au zinafutwa kutokana na walalamikaji(waliotapeliwa) kuacha kwenda mahakamani kufutilia mashauri yao
USHAURI: Kwa wale wanaohitaji kununua Ardhi maeneo hayo wapeleke kwanza surveyors waangalie coordinates, wakazi plot kwenye master plan kuona kama eneo husika halina hati miliki. Pili unapoenda serikali ya mtaa hakikisha unafika hadi ofisi ya Mtendaji wa Kata ambaye atawatambua viongozi wa mtaa au Kijiji wanaotaka kusimamia mauzo na kama kweli eneo unalotaka kununua ni la huyo anayetaka kukuuzia
Samahani mleta tangazo na usichukulie kama nataka kuvuruga biashara yako lakini ni muhimu kupeana tahadhari ili kuzuia wengine waisangukie kwenye mikono ileile wanayoangukia watanzania ambao wanatafuta pesa kwa mahangaiko sana
Ushauri mzuri sana..
Vipi kuhusu tackle ya ushirikina tufanyaje?Sitaki kuharibu biashara za watu lakini yeyote anayetaka kununua Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa maeneo ya Kidomole na Fukayose ni muhimu achukue tahadhari ya hali ya juu sana kutokana na utapeli uliokithiri wa mashamba na ardhi kwa ujumla unaofanywa na kundi lenye mtandao mkubwa wa kuibia watu
Kwanza wanakuonyesha shamba zuuri sana halafu bei inakushawishi kwasababu wanaweka ya chini kupita maelezo. Pili biashara husika itafanyika ndani ya ofisi ya serikali ya mtaa/Kijiji na utaonyeshwa Mwenyekiti, Katibu na Wajumbe wa serikali ya mtaa/Kijiji ambao watashuhudia na kukuthibitishia kua eneo husika ni la huyo anayekuuzia
Baada ya kutoa pesa na kuandikishiana siku chache mbele watatokea watu kutaka kuendeleza au kulima eneo/shamba ulilouziwa. Wanakwambia hilo ni shamba lao miaka na miaka na kwamba wewe umetapeleiwa!!! Ukienda ofisi mloandikishiana unakutana na sura mpya na watawakana wote mnaowaulizia kua hawajulikani hapo! Kumbuka maeneo mengi ya huko yanamilikiwa na watu na YAMESHAPIMWA
Jamaa wa huko ni washirikina kupindukia!. Inasemekana mnunuzi akishaondoka wanachota mchanga wa nyayo zake alipokanyaga na kupeleka ulozini. Asilimia kubwa ya wanaotapeliwa hawakanyagi tena maeneo hayo baada ya kufanya hivyo maramoja au mbili! Kesi nyingi za migogoro ya Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa katika maeneo ya Mapinga, Kerege, Kidomole na Fukayose ama hazimaliziki au zinafutwa kutokana na walalamikaji(waliotapeliwa) kuacha kwenda mahakamani kufutilia mashauri yao
USHAURI: Kwa wale wanaohitaji kununua Ardhi maeneo hayo wapeleke kwanza surveyors waangalie coordinates, wakazi plot kwenye master plan kuona kama eneo husika halina hati miliki. Pili unapoenda serikali ya mtaa hakikisha unafika hadi ofisi ya Mtendaji wa Kata ambaye atawatambua viongozi wa mtaa au Kijiji wanaotaka kusimamia mauzo na kama kweli eneo unalotaka kununua ni la huyo anayetaka kukuuzia
Samahani mleta tangazo na usichukulie kama nataka kuvuruga biashara yako lakini ni muhimu kupeana tahadhari ili kuzuia wengine waisangukie kwenye mikono ileile wanayoangukia watanzania ambao wanatafuta pesa kwa mahangaiko sana
Hapo sina la kusema mkuu labda tuombe ushauri kwa Mshana Jr 😀😀😀. Muhimu ni kuchukua tahadhari zote zinazohitajika kabda ya kulipa pesaVipi kuhusu tackle ya ushirikina tufanyaje?
Mkuu kuna makampuni huwa yana advertize viwanja maeneo hayo uliyotaja kwenye redio, wengine wana ofisi ubungo unalipia elf 10 mnapelekwa kuonyeshwa viwanja, kila jumamosi na jumanne...........je, ni vyema na hawa kuwatilia shaka hadi uwapeleke surveyors kuhakiki mipaka. Kuna maeneo tulishapigwa morogoro kwa ujanja ujanja kama huu ulioelezea hadi tukalipa mchango wa sekondari, mwishoni jamaa wakapotea ikaonekana ni eneo la msitu wa serikali....Sitaki kuharibu biashara za watu lakini yeyote anayetaka kununua Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa maeneo ya Kidomole na Fukayose ni muhimu achukue tahadhari ya hali ya juu sana kutokana na utapeli uliokithiri wa mashamba na ardhi kwa ujumla unaofanywa na kundi lenye mtandao mkubwa wa kuibia watu
Kwanza wanakuonyesha shamba zuuri sana halafu bei inakushawishi kwasababu wanaweka ya chini kupita maelezo. Pili biashara husika itafanyika ndani ya ofisi ya serikali ya mtaa/Kijiji na utaonyeshwa Mwenyekiti, Katibu na Wajumbe wa serikali ya mtaa/Kijiji ambao watashuhudia na kukuthibitishia kua eneo husika ni la huyo anayekuuzia
Baada ya kutoa pesa na kuandikishiana siku chache mbele watatokea watu kutaka kuendeleza au kulima eneo/shamba ulilouziwa. Wanakwambia hilo ni shamba lao miaka na miaka na kwamba wewe umetapeleiwa!!! Ukienda ofisi mloandikishiana unakutana na sura mpya na watawakana wote mnaowaulizia kua hawajulikani hapo! Kumbuka maeneo mengi ya huko yanamilikiwa na watu na YAMESHAPIMWA
Jamaa wa huko ni washirikina kupindukia!. Inasemekana mnunuzi akishaondoka wanachota mchanga wa nyayo zake alipokanyaga na kupeleka ulozini. Asilimia kubwa ya wanaotapeliwa hawakanyagi tena maeneo hayo baada ya kufanya hivyo maramoja au mbili! Kesi nyingi za migogoro ya Ardhi wilaya ya Bagamoyo hasa katika maeneo ya Mapinga, Kerege, Kidomole na Fukayose ama hazimaliziki au zinafutwa kutokana na walalamikaji(waliotapeliwa) kuacha kwenda mahakamani kufutilia mashauri yao
USHAURI: Kwa wale wanaohitaji kununua Ardhi maeneo hayo wapeleke kwanza surveyors waangalie coordinates, wakazi plot kwenye master plan kuona kama eneo husika halina hati miliki. Pili unapoenda serikali ya mtaa hakikisha unafika hadi ofisi ya Mtendaji wa Kata ambaye atawatambua viongozi wa mtaa au Kijiji wanaotaka kusimamia mauzo na kama kweli eneo unalotaka kununua ni la huyo anayetaka kukuuzia
Samahani mleta tangazo na usichukulie kama nataka kuvuruga biashara yako lakini ni muhimu kupeana tahadhari ili kuzuia wengine waisangukie kwenye mikono ileile wanayoangukia watanzania ambao wanatafuta pesa kwa mahangaiko sana
Kwa haya makampuni yanayopima na kumilikisha viwanja mara nyingi huwa yanaukweli. Wao huwa wameshafanya utafiti au kununua mashamba husika kwa kufuata taratibu ikiwa ni pamoja na kushirikisha Halmashauri za Miji na Wilaya.Mkuu kuna makampuni huwa yana advertize viwanja maeneo hayo uliyotaja kwenye redio, wengine wana ofisi ubungo unalipia elf 10 mnapelekwa kuonyeshwa viwanja, kila jumamosi na jumanne...........je, ni vyema na hawa kuwatilia shaka hadi uwapeleke surveyors kuhakiki mipaka. Kuna maeneo tulishapigwa morogoro kwa ujanja ujanja kama huu ulioelezea hadi tukalipa mchango wa sekondari, mwishoni jamaa wakapotea ikaonekana ni eneo la msitu wa serikali....
yap, ila mdau alidhani kwamba umebeba 157million umeenda kulipia mjengo, halafu getini wakupore 2mil. halafu waache 155mil., ndio akashauri eti manunuzi yafanyike online, 😂😂Kabisa ndio nilichamaanisha.
Ushalipa 155 ushahamia kijiweni huko wanapeana mtonyo huko kuna don ana hela kanunua mjengo wa mabilioni wanakulia timming wanakumwaga ubongo na kukuibia vi 2 mil ndani ya gari au getini.
Sometime bongo ku live on the low tu uokoe uhai wako