Shamba lipo Fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.

Lipo fukayosi bagamoyo - km 10 kutoka bagamoyo road, shamba lina heka 15.

Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.

Bei ni milioni 18 tu, nauza lote sikati nusu nusu.

Mawasiliano 0677 818283

Weka namba sahihi. Hiyo mbona haipo hewani?
 
Shamba lipo Fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.

Lipo fukayosi bagamoyo - km 10 kutoka bagamoyo road, shamba lina heka 15.

Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.

Bei ni milioni 18 tu, nauza lote sikati nusu nusu.

Mawasiliano 0677 818283

Serikali ya kijiji huko kwenu inamiliki mashamba? Je pesa alipokea mwenye kiti wa kijiji au?
Bagamoyo ni mahali ambapo mtu kabla hajanunua ardhi anapaswa kujiridhisha na kujiridhisha na kujiridhisha mnooo.Watu wameumizwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…