Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Achukue 110mil.Less than 200Mil Babu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achukue 110mil.Less than 200Mil Babu.
Duh... ina maana Kule materials za ujenzi kuna discount kubwa au?Less than 200Mil Babu.
Pesa ipo nimeuza mawe juzi juzi tu hapa.Weee unahela au unataka kumsumbua kamanda tu
Aisee... we jamaa. Uneona hiyo nyumba ya mfanyakazi? Kwa wengine hiyo ni nyumba ya familia kabisa yani...Achukue 110mil.
Mzee hiki ni kipindi cha meko sio. JKAisee... we jamaa. Uneona hiyo nyumba ya mfanyakazi? Kwa wengine hiyo ni nyumba ya familia kabisa yani...
Babe huku hata tusiguse kabisa !kile kitanda cha 70,000 tu kilikushinda kununua hadi leo😀Kuna umuhimu wa kutafuta hela! Ona mambo mazuri haya yanatupita tu!!
Hata kwa materials za bei ya kawaida still bei iko juu Babu.Duh... ina maana Kule materials za ujenzi kuna discount kubwa au?
HahahahahaPesa ipo nimeuza mawe juzi juzi tu hapa.
Upo sahihiNingekuwa na hela hata nisingejiuliza mara mbili. Eneo zuri, hali ya hewa nzuri nk.
Niliingia shaka kidogo pia.Mbona kimara nyumba zinauzwa sana? Tyari kimenuka nini na mita 200 za magufuli.
Nyumba ipo km 2...na pamerasimishwaaa...
Nyumba ipo km 2...na pamerasimishwaaa...
Hata hivyo nyumba haziuzwi kimara tuu
Ndioo ishapimwaaUnamaanisha ni surveyed plot hiyo?