INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Ndugu yangu , nyumba za kununua ni kimeo balaa.. hasa unapo nunua kwa mtu binafsi.

Kabla ya kununua unatakiwa uwe na mwena sheria mzoefu kwenye mambo ya real estate la sivyo utajikuta unanyumba ambayo huwezi itumia na huwezi hata kupata hati kwa jina lako.
Chukueni 130

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu , nyumba za kununua ni kimeo balaa.. hasa unapo nunua kwa mtu binafsi.

Kabla ya kununua unatakiwa uwe na mwena sheria mzoefu kwenye mambo ya real estate la sivyo utajikuta unanyumba ambayo huwezi itumia na huwezi hata kupata hati kwa jina lako.
Ukifuata taratibu stahiki... Huwez pata matatizo
 
Ndugu yangu , nyumba za kununua ni kimeo balaa.. hasa unapo nunua kwa mtu binafsi.

Kabla ya kununua unatakiwa uwe na mwena sheria mzoefu kwenye mambo ya real estate la sivyo utajikuta unanyumba ambayo huwezi itumia na huwezi hata kupata hati kwa jina lako.
Haswa... umenigusa na kunitonesha.. Property hizi zina siri (iliyofichika) take care.. ukishalipa tu !!
 
Huyu alojenga hili ghorofa huko Kimara porini alichemka.Hakujua kwamba thamani ya nyumba inategemea Hiyo site(kiwanja) kipo sehemu gani.Maana ujenzi wa hili ghorofa ukilijengea MASAKI,au Mikocheni,au Mbezi Beach,Gharama za ujenzi Ni sawa.Siku zote JITAHIDI ujenge nyumba yako sehemu ambazo Mzungu,au mhindi,Mwarabu TAJIRI ANAWEZA Akapanga au akapanunua.Kama una pesa yako usijenge nyumba kubwa Kama hii Uswahilini.Maana siku ukichacha utaiuza Bei Karibu na bure."ONA SASA GOROFA LOTE HILO UNAUZA MIL 160,Na bado Hakuna mnunuzi.Wakati Huku Mbezi Beach uwanja mtupu bila nyumba unauzwa mil 400 na kuendelea.POLE SANA.This is good investment at the wrong place.
 
Umejenga mzee? Au ndo umekaa kwa shemeji umewasha DSTV na kuperuzi JF.....mkiwa hamna fedha punguzeni ujuaji na kufuata taratibu
Huyu alojenga hili ghorofa huko Kimara porini alichemka.Hakujua kwamba thamani ya nyumba inategemea Hiyo site(kiwanja) kipo sehemu gani.Maana ujenzi wa hili ghorofa ukilijengea MASAKI,au Mikocheni,au Mbezi Beach,Gharama za ujenzi Ni sawa.Siku zote JITAHIDI ujenge nyumba yako sehemu ambazo Mzungu,au mhindi,Mwarabu TAJIRI ANAWEZA Akapanga au akapanunua.Kama una pesa yako usijenge nyumba kubwa Kama hii Uswahilini.Maana siku ukichacha utaiuza Bei Karibu na bure."ONA SASA GOROFA LOTE HILO UNAUZA MIL 160,Na bado Hakuna mnunuzi.Wakati Huku Mbezi Beach uwanja mtupu bila nyumba unauzwa mil 400 na kuendelea.POLE SANA.This is good investment at the wrongplaceUmejenj
 
Nyumba nzuri sana na ya kisasa inauzwa - Milioni 320 TU Ipo changanyikeni km 2 tu kutoka mlimani city.

chini ina chumba kimoja jiko stoo choo na sebule na pakulia chakula juu ina vyumba viwili.

Eneo lina ukubwa wa sqm 350 - HATI IPO.

Bei ni milioni 320 TU (320,000,000/=).

Kwa taarifa zaidi kuhusu hii nyumba tuwasiliane 0677 818283

11.jpg
1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
6.jpg
7.jpg
8.jpg
9.jpg
10.jpg
 
Sqm 350? Au 1350?

Halafu changanyikeni ni changayikeni siyo karibu na mlimani city.
 
Sqm 350? Au 1350?

Halafu changanyikeni ni changayikeni siyo karibu na mlimani city.
sio kila mtu anaijua changanyikeni ila wengi wanaweza kuanza kupata picha ya eneo baada ya kujua mlimani city
sijasema changanyikeni ni mlimani city ila ni eneo karibu na mlimani city..
 
😂 tunavyoshusha thamani coins zetu... 🙌😂😂 "bei ya kutupa" M320!!!?
seriously!!!!?... 😂
 
Back
Top Bottom