Nyumba kubwa ya kisasa inauzwa na yenye eneo kubwa ina vyumba 3 vikubwa sana vya kulala (kimojawapo ni master bedroom)

Sebule kubwa zipo mbili, dining, jiko kubwa la kisasa na choo cha familia pia kuna garage ya kupaki gari.

Document hati safi iliyonyooka yenye ukubwa wa squer meter 1606 hati miliki.

Bei ni milioni 160 (160,000,000/=)

Mawasiliano 0677 818283

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…