INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Beach plot / ufukwe wa bahari eneo lina ukubwa wa heka 9 sawa sawa na sqm 36,000
Eneo lipo bagamoyo mapinga - umbali wa km 40 kutoka dar city center
Km 16 kutoka tegeta mwisho na ni km 8 tu kutoka bunju
Eneo lina hati miliki
Bei ni milioni 900 TU
Mawasiliano 0677 818283


08deb357787a069772468e79a08145c24ef201e5.jpg
 
Ina maana city center hadi Tegeta ni KM 16?
 
Kuna mchina haujapita mwezi kapigwa 600m beach plot msasani,kumbe open space,documented kila kitu,walijazwa askari sio wa dunia hii,defender Kama 6 hvi,beach plot labda nyamisati aisee
 
900m bagamoyo ni nyingi sana kwa wenye strategic investment......300m napata eneo Goba mbezi lenye hekari zaidi 6. 500m na jenga medium apartment 10, tena 50m naweka furniture na finishing nzuri 10m nazifanyia marketing then naziuza kwa 120m per unit
1.2bn ndani ya mwaka.

Kwanini niende uko kwote kisa eti karibu na Bahari nizike 900m,
 
Back
Top Bottom