figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,981
Kumekucha kumekucha ww3Urusi wamechoka kuishi. Urusi wanapeleka hizi Iskanders katika mpaka wake na Finland kisa wamesikia wamataka kujiunga na NATO.
View attachment 2226924
Ningeshangaa sana kama wasingetega maana hizo ndio zao.Urusi baada ya kusikia Uturuki wanakuja kuwasaidia Azov, wameanza kutega mabomu baharini, leo yameteguliwa
View attachment 2226997
Sasa badala wamalizane na Ukraine wanataka kwenda tena Finland? Atajikuta anapigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja. Kwasbabu Sweden hatakubali atajua akitoka hapo anakuja kwake, kwa kuwa wapo mpakani atapigania hapo na kurudishwa kwake.Urusi wamechoka kuishi. Urusi wanapeleka hizi Iskanders katika mpaka wake na Finland kisa wamesikia wamataka kujiunga na NATO.
View attachment 2226924
Kweli hawapo Aisee. Nimeona "Dogo" Wanaruka na chopa zao kwa kujinafasi. 🤣 Maana yake Mrusi mbabe nyang'anyang'a - Kha! Amekimbia au amejificha msituni kama kawa au ndo basI tena RIP😭 ??Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8, zinapiga misele Donbas tena kwa kujiachia na mwendo wa kunyata? Wanajiamini nini? Kuna jambo, Urusi watakuwa wamefifishwa
View attachment 2227079
Tusiombee hii mkuu ni mbaya sana, cha muhimu vita iishe mapema dunia iwe shwari kwa maana si wao tu watakaoumia bali sisi sote.Kumekucha kumekucha ww3
Ukraine walishmuonya kwamba ukijifanya unapiga nyuklia usifikiri utabaki salama nchi yako pia itabaki majivu. Hapo anasikilizia upepo na anajua madhara yake.Warusi hawatapendezwa na hii kwasababu wanajua watamwagiwa sumu na nyuklia iwapo Putin ataamua kufanya hivyo.Mariupol: Urusi wameishiwa pumzi Azovstal. Wameanza kutumia Silaha za kemikali aina ya phosphorous dhidi ya Azov. Hii ni kinyume cha Maelekezo ya Jumuiya za kimataifa. Nasisi tukianza tusilaumiwe. Hii ilishapigwa marufuku sababu ni sumu inaua hadi panya na vipepeo achilia mbali binadamu. Urusi hiyo sehemu ni ndogo, nenda muwakamate kwa Mikono. Tatizo ni nini? Hadi simu? Sumu tukiimwaga Moscow si mtakufa mji mzima?
View attachment 2226975