Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baadhi ya Azov Wanamlaumu rais kwa kutoa amri ya Kusitisha mapigano Mariupol. Wanadai Urusi Wasingetoboa. Azov wana roho ngumu. Bado wapo ndani
View attachment 2229786
Mkuu Kuna mkanganyiko kuhusu Hawa wanajeshi wa Azov amabao Jana walisalender kwa Rusia lengo likiwa kubadilishana mateka wa kivita kati ya Ukraine na Rusia Mana Kuna taarifa zinadai kwamba hawa Azov wamepelekwa hadi Rusia kisa Warus wamegoma kubadilishana naomba utusaidie je ukweli ni upi.
 
Hii imejaa propaganda sana. Hawajapelekwa Urusi bali wamepelekwa Donetsk sehemu ambayo ipo chini ya Urusi Donetsk ipo Ukraine ni moja ya mikoa yenye mapambano.

Hii haiwahusu Ukraine sababu waliohusika katika kuwatoa Usiku ule ni UN, red cross na Rusia. So wapo chini ya Umoja wa Mataifa. Ukraine yenyewe inataka wawe huru kwa kubadilishana Wafungwa. Hata hivyo kuna ambao hawajapelekwa Olenivka. Kuna waliokombolewa kijeshi.

Hata hivyo inadaiwa waliobaki ni wengi kuliko waliochukuliwa.

So tunipe muda Mkuu wa Majeshi au Waziri wa Ulinzi aongee. Wapo kimya

Mfano hawa Azov waluopelekwa Kharkiv hawajatolewa na UN. Waliforce kwa kushirikiana na Marine
 
Kuna mwanajeshi wao alisema, majeruhi wanawamalizia wenyewe ili wasipate kazi ya kubeba Majeruhi. So Urusi wanaua watu wao wenyewe. Wanahofiwa wakitekwa wanaweza kutoa Siri eti.
Hawa ndivyo hufanya mara zote vitani, kuua watu wake ni kitu cha kawaida sana,na taarifa huwa haendi kwa kiongozi wao wa nchi kwasababu hata top security officers wanaogopa kumpa taarifa za kuumiza ili wasichukuliwe hatua.
 
Hawa ndivyo hufanya mara zote vitani, kuua watu wake ni kitu cha kawaida sana,na taarifa huwa haendi kwa kiongozi wao wa nchi kwasababu hata top security officers wanaogopa kumpa taarifa za kuumiza ili wasichukuliwe hatua.
Aisee! Dah! Inatisha mno; Yaan jamaa wamefikia dhuluma ya kiwango kilichokubuhu cha kudhulumu hata uhai na nafsi zao wenyewe? Inasikitisha sana. Ingekuwa ni kheri Putin asingelizaliwa kabisa.
 
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu
 
Mkuu kwanza Rais ni taasisi, ana mifumo yake ya ulinzi mbali na jeshi na polisi kuna secret services na hawa huwezi kuwajua wote na wanachunguzana. Humo ndani kuna mamluki.

Mnaweza kukubaliana mfanye jambo kama hilo likaback fire kutokana na mmoja wenu ku leakisha mpango mzima wa kutaka kupindua, badala yake mkakiona cha mtema kuni mana siyo kitu kidogo kufanya hicho kitu kwasababu hujui wenzako wako loyal kiasi gani kwa kiongozi wao.

Mfano Wajerumani walivyochoshwa na hiyo vita waliamua kumueliminate Hitler lakini mpango wao uliharibika baada ya bomu kutegwa chini ya meza, kumbe meza ilikuwa ngumu kwahiyo bomu halikulipuka sawa sawa hivyo hakufa ingawa baadhi ya makamanda wake walikufa naye akajeruhiwa .

Vyombo vya ulinzi na usalama wakakata mtandao wa simu(mawasiliano), waliofanya hivyo wakajua wameshamaliza kazi na kiongozi wa huo mpango akatangaza kuwa kuanzia wakati huo yeye ndiye atakuwa anatoa maamuzi na kuongoza nchi.

Muda si mrefu Hitler yupo hai. Kilichotokea karibu watu 5000 walinyongwa na wengine kufungwa na familia zao kwa kosa la uhaini.
Kwahiyo hiki ulichokisema si rahisi kama mifumo ya ulinzi haijaamua kufanya hivyo,na mpaka ipange hivyo hadi ikubaliane ni kazi inayohitaji usiri mkubwa sana.
 
Aisee! Dah! Inatisha mno; Yaan jamaa wamefikia dhuluma ya kiwango kilichokubuhu cha kudhulumu hata uhai na nafsi zao wenyewe? Inasikitisha sana. Ingekuwa ni kheri Putin asingelizaliwa kabisa.
Putin anatamani mambo yasiyotamanika,Mungu atuepushie mbali na hili jambo baya. Watu wanakufa yeye haoni shida yoyote.
 
Asante kwa kutoa elimu ya tahadhari na mfano hai. 🙏
 
Yaani leo Ukraine wameingia Luhansk kwa fujo sana.. Hahahaaa..!. Nimejifunza kitu kwenye hii Vita. Kumbe Battalion inakuwa kamili kabisa. Kuna magari yenye tenki sio ya Mafuta bali maji ya kunywa. Malori ya vyakula, Madawa, majenereta, Mahema na kila kitu. Dah!
Your browser is not able to display this video.
 
Eti Urusi inajivunia jeshi kutoka Africa. Kwamba hizi ni anazotoa msaada. Hivyo anabackup ya Africa
 
Jeshi la Ukraine katika ubora wao
Your browser is not able to display this video.
 
SOF wa Ukraine wakibomoa Daraja kati ya Rubizhne na Severodonetsk
Your browser is not able to display this video.
 
putin anataka awatoe wanajeshi wake wote afrika wakapigane ukraine
Tutaanza kuwaona Waafrika wakifa Ukraine. Syria naona wameshitukia mtego, hawajapeleka wanajeshi tena. Sababu walikuwa wakiwatanguliza wao. Ndo maana hata wakifa Urusi haibebi Maiti sababu si Warusi, walinunuliwa wakapambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…