figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,101
Jamaa kapost picha jioni ya leo 18 Mei 2022 kwamba yeye na wenzake bado wapo Azovstal. Haya mahandaki inaonekana ni Makubwa sana. Azov 600+ Walikuwa humo ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kuna mkanganyiko kuhusu Hawa wanajeshi wa Azov amabao Jana walisalender kwa Rusia lengo likiwa kubadilishana mateka wa kivita kati ya Ukraine na Rusia Mana Kuna taarifa zinadai kwamba hawa Azov wamepelekwa hadi Rusia kisa Warus wamegoma kubadilishana naomba utusaidie je ukweli ni upi.Baadhi ya Azov Wanamlaumu rais kwa kutoa amri ya Kusitisha mapigano Mariupol. Wanadai Urusi Wasingetoboa. Azov wana roho ngumu. Bado wapo ndani
View attachment 2229786
Hii imejaa propaganda sana. Hawajapelekwa Urusi bali wamepelekwa Donetsk sehemu ambayo ipo chini ya Urusi Donetsk ipo Ukraine ni moja ya mikoa yenye mapambano.Mkuu Kuna mkanganyiko kuhusu Hawa wanajeshi wa Azov amabao Jana walisalender kwa Rusia lengo likiwa kubadilishana mateka wa kivita kati ya Ukraine na Rusia Mana Kuna taarifa zinadai kwamba hawa Azov wamepelekwa hadi Rusia kisa Warus wamegoma kubadilishana naomba utusaidie je ukweli ni upi.
Hawa ndivyo hufanya mara zote vitani, kuua watu wake ni kitu cha kawaida sana,na taarifa huwa haendi kwa kiongozi wao wa nchi kwasababu hata top security officers wanaogopa kumpa taarifa za kuumiza ili wasichukuliwe hatua.Kuna mwanajeshi wao alisema, majeruhi wanawamalizia wenyewe ili wasipate kazi ya kubeba Majeruhi. So Urusi wanaua watu wao wenyewe. Wanahofiwa wakitekwa wanaweza kutoa Siri eti.
True.Warusi hawaheshimu uhai.
Aisee! Dah! Inatisha mno; Yaan jamaa wamefikia dhuluma ya kiwango kilichokubuhu cha kudhulumu hata uhai na nafsi zao wenyewe? Inasikitisha sana. Ingekuwa ni kheri Putin asingelizaliwa kabisa.Hawa ndivyo hufanya mara zote vitani, kuua watu wake ni kitu cha kawaida sana,na taarifa huwa haendi kwa kiongozi wao wa nchi kwasababu hata top security officers wanaogopa kumpa taarifa za kuumiza ili wasichukuliwe hatua.
Asante kwa ufafanuzi wako mkuuHii imejaa propaganda sana. Hawajapelekwa Urusi bali wamepelekwa Donetsk sehemu ambayo ipo chini ya Urusi Donetsk ipo Ukraine ni moja ya mikoa yenye mapambano.
Hii haiwahusu Ukraine sababu waliohusika katika kuwatoa Usiku ule ni UN, red cross na Rusia. So wapo chini ya Umoja wa Mataifa. Ukraine yenyewe inataka wawe huru kwa kubadilishana Wafungwa. Hata hivyo kuna ambao hawajapelekwa Olenivka. Kuna waliokombolewa kijeshi.
Hata hivyo inadaiwa waliobaki ni wengi kuliko waliochukuliwa.
So tunipe muda Mkuu wa Majeshi au Waziri wa Ulinzi aongee. Wapo kimya
Mfano hawa Azov waluopelekwa Kharkiv hawajatolewa na UN. Waliforce kwa kushirikiana na Marine
Mkuu kwanza Rais ni taasisi, ana mifumo yake ya ulinzi mbali na jeshi na polisi kuna secret services na hawa huwezi kuwajua wote na wanachunguzana. Humo ndani kuna mamluki.Hivi inakuje nchi inakua na mtu mmoja tu ambae anakua amebeba mstakabali wa taifa Zima? Inakuaje vyombo vya ulinzi na usalama vya Rusia kumuacha Putin ahalibu nchi yao kiasi hiki?Je nchi yao haiwaumi? Kwa Sababu mpaka Sasa hivi vyombo vya ulinzi na usalama vya Rusia vinajua kwamba NATO baada ya kuwafulusha wanajeshi wa Urusi ndani ya Ukuraine kifuatacho ni mwendo wa kumfata Putin ndani ya Moscow na kuja kufika huko moscow Kuna uhalibufu mkubwa utafanyika ndani ya Urusi ambao ni hasara kubwa kwa Taifa la Urusi.
Manake wanakubali kumwacha mtu mmoja ambae atahalibu nchi na kuipa hasara ambayo inaweza kuigalimu nchi hasara ya zaidi ya miaka 50 ijayo.
Sasa inakuje wanamwacha mtu mmoja kuharibu Taifa Zima je huu sio ujinga na upumbavu?
Putin anatamani mambo yasiyotamanika,Mungu atuepushie mbali na hili jambo baya. Watu wanakufa yeye haoni shida yoyote.Aisee! Dah! Inatisha mno; Yaan jamaa wamefikia dhuluma ya kiwango kilichokubuhu cha kudhulumu hata uhai na nafsi zao wenyewe? Inasikitisha sana. Ingekuwa ni kheri Putin asingelizaliwa kabisa.
Asante kwa kutoa elimu ya tahadhari na mfano hai. 🙏Mkuu kwanza Rais ni taasisi, ana mifumo yake ya ulinzi mbali na jeshi na polisi kuna secret services na hawa huwezi kuwajua wote na wanachunguzana. Humo ndani kuna mamluki.
Mnaweza kukubaliana mfanye jambo kama hilo likaback fire kutokana na mmoja wenu ku leakisha mpango mzima wa kutaka kupindua, badala yake mkakiona cha mtema kuni mana siyo kitu kidogo kufanya hicho kitu kwasababu hujui wenzako wako loyal kiasi gani kwa kiongozi wao.
Mfano Wajerumani walivyochoshwa na hiyo vita waliamua kumueliminate Hitler lakini mpango wao uliharibika baada ya bomu kutegwa chini ya meza, kumbe meza ilikuwa ngumu kwahiyo bomu halikulipuka sawa sawa hivyo hakufa ingawa baadhi ya makamanda wake walikufa naye akajeruhiwa .
Vyombo vya ulinzi na usalama wakakata mtandao wa simu(mawasiliano), waliofanya hivyo wakajua wameshamaliza kazi na kiongozi wa huo mpango akatangaza kuwa kuanzia wakati huo yeye ndiye atakuwa anatoa maamuzi na kuongoza nchi.
Muda si mrefu Hitler yupo hai. Kilichotokea karibu watu 5000 walinyongwa na wengine kufungwa na familia zao kwa kosa la uhaini.
Kwahiyo hiki ulichokisema si rahisi kama mifumo ya ulinzi haijaamua kufanya hivyo,na mpaka ipange hivyo hadi ikubaliane ni kazi inayohitaji usiri mkubwa sana.
putin anataka awatoe wanajeshi wake wote afrika wakapigane ukraineEti Urusi inajivunia jeshi kutoka Africa. Kwamba hizi ni anazotoa msaada. Hivyo anabackup ya Africa
View attachment 2229981
Tutaanza kuwaona Waafrika wakifa Ukraine. Syria naona wameshitukia mtego, hawajapeleka wanajeshi tena. Sababu walikuwa wakiwatanguliza wao. Ndo maana hata wakifa Urusi haibebi Maiti sababu si Warusi, walinunuliwa wakapambane.putin anataka awatoe wanajeshi wake wote afrika wakapigane ukraine