Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Inakuwaje raisi wa Ukraine anakubali nchi yake kugeuzwa magofu?
Hivi Wal mateka 900+ Urusi itawanyonga au kuwaacha huru?
 
Inakuwaje raisi wa Ukraine anakubali nchi yake kugeuzwa magofu?
Hivi Wal mateka 900+ Urusi itawanyonga au kuwaacha huru?
wanataka wabadilishane wafungwa
ila mwanzo ilikuw maiti 3 za warusi kwa mwanajeshi 1 hai wa ukraine
 
Tulikamata kwanza mawasiliano ya redio ya nde ya Urusi aina ya Su-34iliyopigwa kombora katika mkoa wa Kharkiv leo. Rubani wa Urusi alikuwa anahaha.
Your browser is not able to display this video.
 
Asante kwa kutoa elimu ya tahadhari na mfano hai. [emoji120]
Ahsante mkuu.Tuko pamoja sana, haya Mambo me huwa nashauri siku zote hekima na busara itumike kumaliza tatizo lasivyo inaweza kuleta visasi vibaya sana kwenye jamii baada ya watu kuhisi walidhulumiwa nafsi za wapendwa wao.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa U.S. Marines na M777 wameletwa Ukraine. Je, wanataka kupelekwa Mariupol? Ndo kuna bahari
View attachment 2230460
Huenda wamepelekwa huko kulinda silaha zao zisije zikaingia mikononi mwa Russia na kuigeukia Ukraine, au ndio kutoa msaada ili kuikomboa Mariupol. Kuna kazi kubwa inaenda kufanyika. Macho na masikio yetu kungoja kitakachojiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…