Ata mimi nimeshanga hawa jamaa ikitokea mariupol ikakomborewa hawa jamaa inabidi wapewe heshima yaoHiki ndo kimenishangaza
MhuuuHawa watu wana ujuzi na uvumilivu wa hali ya juu wangekuwa ni wao Warusi sasa hivi ingekuwa habari nyingine.
Panic yao isingekuw ya kitoto na wangepigwa vibaya mno. Hata wao wanashangaa ilikuwaje.
pole mzee.,kubali yaishe.Hesabu zimekubali. Maeneo yote yaliyokaliwa kibabe na Urusi yanarudi. Asante NATO
View attachment 2231081
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hesabu zimekubali. Maeneo yote yaliyokaliwa kibabe na Urusi yanarudi. Asante NATO
View attachment 2231081