Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Eh huu uzi mbona kama unaonesha ukrain wanashinda lakini ukifatilia vyombo vya habari vingine,Indonesia russia anamtandika ukrain mpaka anasalimu amri

Ova
 
Eh huu uzi mbona kama unaonesha ukrain wanashinda lakini ukifatilia vyombo vya habari vingine,Indonesia russia anamtandika ukrain mpaka anasalimu amri

Ova
Fuatilia habari za pande zote.

Nikuulize swali, mfano Tanzania imechukuliwa mikoa 20,mikoa 10 bado ipo kwa Watanzania.

Watanzania wakaikomboa mikoa 17 ikabaki 3,

Je,nani hapa atakuwa anaonekana mshindi?
 
Fuatilia habari za pande zote.

Nikuulize swali, mfano Tanzania imechukuliwa mikoa 20,mikoa 10 bado ipo kwa Watanzania.

Watanzania wakaikomboa mikoa 17 ikabaki 3,

Je,nani hapa atakuwa anaonekana mshindi?
Watanzania wengi ni wabishi sana mkuu Tena wanabisha bila facts .Hivi Urusi anawezaje kushinda vita dhidi ya NATO na USA? Nchi hizi ndizo zenye mifumo yote ya kuendesha uchumi wa Dunia Sasa una weza washinda kwa lipi?Hawa watu ndo matajiri wa Dunia na vita mala nyingi hushinda yule mwenye uchumi mkubwa Sasa kati ya USA na NATO dhidi ya Urusi nani ana uchumi mkubwa?

Ukweli ni kwamba Ukurein akisaidiwa na USA na NATO pia ndo washindi wa hii vita pia huu ndiyo utakua mwisho wa Putin Ikama Rais wa Urus,anaebisha atulie muda utampa majibu.
 
Ok,muda utaongea

Ila siko upande wowote

Ova
 
Komando na Mkuu wa Kokosi cha Azov Denis Prokopenko, akiwa ndani ya Viwanda vya Mariupol leo, ameutaka Uongozi wa juu wa jeshi wa Nchi kuimarisha ulinzi wa Mariupol na kuhifadhi maisha na afya ya askari wa Jeshi la Azov.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba vyombo vya habari Indonesia? Au mimi sijaelewa hivi
Eh huu uzi mbona kama unaonesha ukrain wanashinda lakini ukifatilia vyombo vya habari vingine,Indonesia russia anamtandika ukrain mpaka anasalimu amri

Ova

Mkuu iko hivi urusi ni kweli anabomoa majumba na miundo mbinu katika miji mingi yaani anafanya uharibifu mkubwa lakini recently karudishwa nyuma sana vikosi vyake vimebaki sehemu chache kati ya zile ilizokuwa imekalia mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…