Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Kwa dola hizo ni kama bilioni 140 kwa gari moja,aisee mbona ni ghali sana zinakuwa na vitu gani vya ziada humo?Hizi ni 14, M113 za Australia zinabeba Wanajeshi 20, Wengine wanaziita "Bushmaster". Mzigo unapelekwa Donbas. Gari moja ina garama ya Dila Milioni 60.9
View attachment 2231089