Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Georgia tangu wiki iloisha wametusaidia sana. Wana mbinu nyingi za Kivita. Leo wameharibu vifaa vya Urusi Vingi sana
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu, hawa ni Chechen wanaongozwa na Komando Mansur. Hiki kikosi kijeshi kinatumia jina la "Sheikh Mansur" Battalion wanapigana kwa Upande wa Ukraine. Leo wameonesha Mavuno yao ya kuanzia Alhamis iloisha Mkoani Donbas. Sorry, siku nyingi nilikuwa sijawapost. Tukumbushane.
 
Yaani Urusi Mtandaoni wanajimwambafai sana, lakini tukiwadaka wanakuwa wapole kama piriton🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
203-mm self-propelled guns "Peony" send parcels to Russia. Full of Love🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Ile Meli ya gharama ya Urusi iliyozamishwa na Ukraine, imeleta mabadiliko. Ukraine sasa wanatumia Stamp ya Meli ilozamishwa na Ukriane. Leo rais kaipitisha rasmi. So mizigo ya Ukraine itakuja na Meli ikiwa inazama.
 
Yaani nimecheka sana jinsi Warusi walivyokuwa wanakimbia baada ya kifaru chao kulipuliwa
Your browser is not able to display this video.
 
Navigation. Miaka 10 Vita haitakuwa determined na wingi wa jeshi bali technology. Urusi tumewatesa na mambo ya GPS. URUSI wanatuzidi wingi wa Vifaa vya jeshi. Sisi tunawazidi wataalam wq kuharibu vifaa vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…