figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,281
Walipelekewa moto Warusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awabariki Sana.Wakuu, hawa ni Chechen wanaongozwa na Komando Mansur. Hiki kikosi kijeshi kinatumia jina la "Sheikh Mansur" Battalion wanapigana kwa Upande wa Ukraine. Leo wameonesha Mavuno yao ya kuanzia Alhamis iloisha Mkoani Donbas. Sorry, siku nyingi nilikuwa sijawapost. Tukumbushane.
View attachment 2235979View attachment 2235980View attachment 2235981View attachment 2235982View attachment 2235983
Hii ni niniMungu awabariki Sana.
Sasa kama wanatuma vijana wadogo hivyo....kesho yao itakuwaje aiseeYaani Urusi Mtandaoni wanajimwambafai sana, lakini tukiwadaka wanakuwa wapole kama piriton🤣🤣🤣
View attachment 2236099
Hii ndo kama ile ya Tanzania ya kwenda JKT baada ya kumaliza 6. Sasa Ukitoka JKt unatakiwa uende Ukraine kwa VitendoSasa kama wanatuma vijana wadogo hivyo....kesho yao itakuwaje aisee
Ile Meli ya gharama ya Urusi iliyozamishwa na Ukraine, imeleta mabadiliko. Ukraine sasa wanatumia Stamp ya Meli ilozamishwa na Ukriane. Leo rais kaipitisha rasmi. So mizigo ya Ukraine itakuja na Meli ikiwa inazama.
View attachment 2236138View attachment 2236140View attachment 2236141