Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapo jamaa anatumia njia mbadala ya kupunguza idadi ya midomo (raia wa kigeni) ili chakula kilichopo kiweze kutosheleza. Nilisoma huko nyuma kwamba lile ghala la kuhifadhia nafaka/chakula ambacho Warusi waliiba/walipora kutoka Ukraine, LEGION walishalitembelea. Kwa mantiki hiyo wale watu ambao sio kipaumbele(priority #1) kwa Urusi wanapelekwa uwanja wa mapambano ili wakauawe na ionekane walifia vitani.😡
Inasikitisha sana. Hivi Putin ana umri gani? ..... isije ikawa uzee unachangia
 
Hawa jamaa wan
Mkuu; Kwani wewe hujui kwamba wamechoka mwili na roho kupita maelezo? kifo kinawanyemelea. 😭 😭

Mkuu; Kwani wewe hujui kwamba wamechoka mwili na roho kupita maelezo? kifo kinawanyemelea. 😭 😭
Hawa jamaa wanaenda vitani huku wakiwa wameishakufa tayari ndo maana wengi wao ni walevi ili kupunguza machungu wakati wa kifo chenyewe
 
Very sad kwa kweli. Kama kuiba ameiba kweli.Jamaa umri umesogea ila kwasababu ni mtu wa mazoezi haonyeshi sana, huyo Rais wa Ukraine ni sawa na mtoto wake, kwahiyo ana hasira naye kweli kweli, anaona kama vile dogo amemdharau.
 
Kikosi cha Urusi cha 107th Infantry Regiment ambacho kipo Donetsk, kimegoma kwenda kupigana Luhansk.

Hii ni faida kwetu, wajiunge na LEGION Wamtandike Putin.

NB: Wenyewe eti hii Mikoa wanaiita Donetsk People's Republic (DPR) na Luhansk People's Republic (LPR). Hii ni Mikoa ya Ukraine ambayo Urusi wanadai imejitenga kutoka Ukraine. Ndicho chanzo cha Vita eti wamekuja kuwasaidia kutoka kwenye Makucha ya Ukraine sababu ni mataifa huru.
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi tumewapelekea moto wameanza kugawanyika wenyewe. Wameshaanza ingiwa na roho ya Usaliti eti hawaoni sababu na kupigana na Ukraine.

Hii Silaha ya Ufaransa inaitwa Caesar self-propelled. Ni mzigo mpya umeletwa
 
Hii ndo Bendera ya LEGION. Hapo wanaenda kazini.
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…