urusi ameteketeza sana miji ya ukraine, lakini ukweli usemwe, Ukraine pia imeteketeza vifaru vingi sana na vifaa vingi vya kijeshi vya urusi na imeua warusi wengi sana. huu ndio ukweli mchungu. vita wataashinda ila wamesafa kwelikweli. endapo kama wote wangekuwa na uwezo sawa wa kivita, urusi sasaivi angeshanyoosha mikono juu.