Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ni M777 katika eneo la Kherson.
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya hapo ni nini kama siyo kuamua kuweka silaha chini au kuretreat?
Huyo Njemba(Putin) kwa jinsi kichwa chake kilivyo mbele dk.5, anaweza kuamua kuwapoteza ili liwe funzo kwa wengine watakaojaribu kusema Kiapo cha Utii tupa kule!
🙄
 
Huyo Njemba(Putin) kwa jinsi kichwa chake kilivyo mbele dk.5, anaweza kuamua kuwapoteza ili liwe funzo kwa wengine watakaojaribu kusema Kiapo cha Utii tupa kule!
🙄
Wala sibishi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Lieutenant Liubov Plaksiuk ndo Mwanamke wa kwanza kusimia Divisheni Jeshini. Kabla ya Vita alikuwa mwalimu wa Historia. Alianza kama phone operator, akapandishwa kuwa mkuu wa kamanda ya self propelled artillery battalion(kiswahili hakina utajiri wa maneno). Sasa anawatoa roho Warusi.
 
Hivi hawa jamaa hizo bunduki zao magazine inaingia risasi ngapi?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hii Silaha inaitwa AKM rifles(Avtomat Kalashnikova Modernizirovanniy) Magazine inaweza kubeba risasi 30, 40 au 75. Hii ni AK- 47 au AK- 74 zilizoboresha. AK-47 ilizinduliwa 1947 lakini AKM ilizinduliwa 1959. Ni Product ya USSR

Picha za AKM
 
Majeshi yetu yasichoke kufanya mazoezi. Mnaona dogo anavyohema? Huyu ni mtoto wa Mbunge mstaadu wa Uingereza, anaipambania Ukraine. Katembea km 15 tu. Hapa wanafukuzwa na risasi, na kajeruhiwa 🤔
Your browser is not able to display this video.
 
Ule mzigo kutoka Canada umeshafika. Mzigo unatua Ukraine, Urusi wanajifanya wana Vifaa ila Wanashindwa kuiona ndege Jeshi kubwa hivi?! 🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…