figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,481
Kwa msaada wa watu wa Marekani. Hizi ndo silaha zinaitwa MLRS long-range multiple rocket launchers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa marekani hakika n waungwana mnoooKwa msaada wa watu wa Marekani. Hizi ndo silaha zinaitwa MLRS long-range multiple rocket launchers
View attachment 2242369View attachment 2242370
Hivi hawa jamaa hizo bunduki zao magazine inaingia risasi ngapi?Wanajeshi wa kujitolea kutokea Georgia
View attachment 2242360View attachment 2242361View attachment 2242363
Huyo Njemba(Putin) kwa jinsi kichwa chake kilivyo mbele dk.5, anaweza kuamua kuwapoteza ili liwe funzo kwa wengine watakaojaribu kusema Kiapo cha Utii tupa kule!Baada ya hapo ni nini kama siyo kuamua kuweka silaha chini au kuretreat?
Wala sibishi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo Njemba(Putin) kwa jinsi kichwa chake kilivyo mbele dk.5, anaweza kuamua kuwapoteza ili liwe funzo kwa wengine watakaojaribu kusema Kiapo cha Utii tupa kule!
🙄
Swali zuri sana ngoja wataalamu waje watusaidie hata mimi ninapenda kujua.Hivi hawa jamaa hizo bunduki zao magazine inaingia risasi ngapi?
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hii Silaha inaitwa AKM rifles(Avtomat Kalashnikova Modernizirovanniy) Magazine inaweza kubeba risasi 30, 40 au 75. Hii ni AK- 47 au AK- 74 zilizoboresha. AK-47 ilizinduliwa 1947 lakini AKM ilizinduliwa 1959. Ni Product ya USSRHivi hawa jamaa hizo bunduki zao magazine inaingia risasi ngapi?
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app