Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

URUSI: Kiwanda na Maghala ya Plastic na rubber, yanawaka Moto Mjini Naberezhnye Chelny, Russia. LEGION
 
P.S. Andrey. Urusi wanalia sana🤣🤣
20220603_093550.jpg
 
Huyu Mjeda ndo alipewa Mikoba ya kusimamia na Kuongoza Vita Ukraine. Sasa wiki ya pili haonekani.
Je, General Aleksandr Dvornikov atakuwa kakukufa?? Au Putin kamuua baada ya kushindwa kupenya ngome ya Ukraine kule Kyiv na kupelekea Wanajeshi wengi wa Urusi zaidi ya 13000 kufa Ukraine ndani ya Wiki 3 za kwanza?
20220603_101301.jpg
20220603_101308.jpg
download.jpeg
20220603_101315.jpg
20220603_101323.jpg
 
Hapa na bado, shughuli ikimalizika inatakiwa kulipa gharama za silaha anazopewa.
Screenshot_20220603_110738.jpg
 
Huyu Mjeda ndo alipewa Mikoba ya kusimamia na Kuongoza Vita Ukraine. Sasa wiki ya pili haonekani.
Je, General Aleksandr Dvornikov atakuwa kakukufa?? Au Putin kamuua baada ya kushindwa kupenya ngome ya Ukraine kule Kyiv na kupelekea Wanajeshi wengi wa Urusi zaidi ya 13000 kufa Ukraine ndani ya Wiki 3 za kwanza?
View attachment 2248911View attachment 2248912View attachment 2248913View attachment 2248914View attachment 2248915
Shoga vipi? Mbona uko mwenyewe kwenye huu uzi!! Yaan hata mashogiree wenzako hawakupi support!! Ebu nenda kwenye ule uzi mwingine uone wenzako wanavyochakazwaaaa
 
Jailos mrisho, Jailos mrisho, Jailos mrishooo.....!!? Mbona unachafua hali ya hewa aisee? Kwani kakulazimisha uusome uzi wake halafu zaidi unatukana? Si upite hv tu kwa amani au potezea na umwachie li-uzi lake? 😳 😳
 
yaani kuna watu wanawashwa hatari.....sijui huku kafwata nn...yeye aende kwenye mipasho yake huko
 
Mkuu, mbona angeweza walau atumie lugha nzuri ingetosha kufikisha ujumbe na msimamo wake badala ya kutumia lugha ya matusi kwa mwenye uzi ? Namshangaa anatoa hadharani yale yaliyoujaza moyo wake.
 
Back
Top Bottom