Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi hawamuelewi Putin. Bunge lilipitisha mpango wa kufanya Operation Ukraine ambayo ilishindwa. Kuficha aibu ikabidi wapigane Vita kamili ambayo bunge haikubariki. Ndo maana wanasema hii ni Vita vya Putin.. Mwisho wa siku Urusi itatumia hela tena kuijenga Ukraine kwa mjibu wa sheria za Kimataifa. Hii Vita Mrusi hatoboi sababu wamegawanyika.
1.Wapo wanajeshi watiifu na wanapigana 100% lakini ndo hao wameshakufa 30,950+ up to June 2022 tangu uvamizi Feb.2022.
2. Wapo wanajeshi "mgomo baridi" wanaodai silaha zao ni duni ukilinganisha na zile za wa-Ukraine
3. Lipo Jeshi linafanana-fanana kama Guerilla fighters lakini ni moto wa kuotea mbali na lipo ndani ya nchi ya Urusi - LEGION
4.Wapo wananchi wengi hawaungi mkono hii vita kwani hawaoni sababu za msingi uwepo wa vita hiyo wala manufaa yake.
5. Wapo wafanyabiashara na Wasomi wakubwa ambao biashara na shughuli zao zimeathirika kutokana na uwepo wa hii vita - Hawaitaki kabisa vita hii.
JUMLA = Mwadui wa Putin 👆
Hitimisho: Hawa wote(1-5)+ Wapiganaji/ Majeshi ya Ukraine walio mstari wa mbele + Putin mwenyewe afya-mgogoro + Nchi za nje Wanaoiunga mkono Ukraine(kwa Hali na Mali) + Vikwazo vya ki-uchumi ni changamoto KUBWA sana kwa Putin. Cjui kama atamudu. Tusubiri muda utasema.🤯
 
Kila siku Warusi tunawaambia Ukraine sio yenu hamuelewi. Mungu ni mwema leo Mnamo Juni 5,2022, Meja Jenerali Roman Kutuzov amepelekwa kuzimu na Snipers wa Ukraine. Naweka na Maiti yake ili wale wanaonitukana watue adabu. Alishindwa Mshauri Putin Vizuri asiishambule Ukraine. Sasa kafa yeye🤣🤣🤣
626x604.jpg
IMG_20220605_201503_582.jpg
IMG_20220605_201452_049.jpg
 
Huyu ni Sniper wa Kimataifa wa kukodiwa. Kashapigana, Syria, Libya. Anajiita VAHA. safari hii akiipigania Urusi maeneo ya Donbas, Amtolewa roho ndani ya Mwili wake. Kabaki kiwiliwili chakula cha Minyoo. Wenzake wakiona Askari wa Ukraine wanakuja wakakimbia, Yeye akajifanya mbabe wa Vita
1654508902777.png
1654508919090.png
1654508933509.png
 
Warusi Washaingiwa na Woga, angalia wanavyo tapatapa baada ya kufanyiwa ambush. Wachimba mahandaki ila wanashindwa kuingia. Walioko ndani wanatoka nje walioko nje wanaingia ndani. Wengi wametekwa
 
Wakuu, Tayari AVOV wameweza kujikusanya tena. Kikosi chao chaitwa 1st Battalion SSO. Wanatumia SSO au SOF(The Special Operations Forces)

Video ya kwanza walioiacha hii hapa wakiwa vitani. Wana Uchungu balaa. KAma kawaida yao hawateki hata ujisalimishe. Wao ni kuua tu. Ndo maana Urusi wanawqchukia na kuwaogopa
 
Back
Top Bottom