Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa ni ndugu zetu Azov
1654519362568.png
1654519395280.png

1654519415824.png
 
Hivi Urusi wakishambuliwa hawasaidiani?
 
Hizi ndo zaitwa 2S7 Pion za Ukraine
 
S-300 anti-aircraft missile za Ukraine
 
Hizi ndo wanaira "KRAB" 155mm Self-Propelled Howitzer za Poland. Kwa huu mzigo ulokuja mwezi huu, tushindwe wenyewe
 
Azov washaanza kazi. Wao ni kuua tu. Huyo Azov anarusha Bunduki hapo, alihisi kumetegwa bomu la ardhini🤣🤣
 
Back
Top Bottom