Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi watakuwa wamekufa wengi. Ukraine imekusanya maiti za Wanajeshi wa Urusi 30,950 hadi kufija June 3, 2022. Hapa ondoa wale wasiojulikana walipo na ondoa waliochukuliwa na Urusi. Tunamanisha hawa nu wale tulokuwa na picha za maiti zao
IMG_20220604_001544_940.jpg
 
Leo nimecheka sana. Urusi walikuwa wakirekodi Movie kuonesha thermobaric inavyofanya kazi. Ndani ya dakika moja thermobaric yao ikalipuliwa. Warusi Watano wamekufa hapo hapo. 🤣🤣🤣. Yaani mtandaoni Urusi wanaovyoongea ni tofauti na field. Angalia wanavyokimbia na kuacha viatu
 
Vitani ukiambiwa ujisalimishe kwa kunyosha mikono juu ukakataa, kifuatacho ni kifo. Hawa Warusi baada ya kuingia 18 wakaambiwa wajisalimishe wakakataa. Wakajifanya wanaweza kimbia kushinda risasi. Imetulazimu tuwa neutralize. Kifaru kutatumiwa na Wanajeshi wa Ukraine. Tumerusha bomu kwenye kifaru wakatoka kama kumbikumbi 😂😂😂
 
Wakuu, baada ya Azov kuzidiwa nguvu kuke Mariupol, sasa wameanza kujinoa upya kwa technology na Vifaa vipya. Hawa ni Azov Battalion.. Weka mbali na watoto. Bado wiki moja wahitimu.
 
Hiki "kidonge" au kwa kipare "Tablet" kinaenda kuwa kichungu sana kwa Mrusi. Cjui kama ataweza kukimeza.😭
Urusi hawamuelewi Putin. Bunge lilipitisha mpango wa kufanya Operation Ukraine ambayo ilishindwa. Kuficha aibu ikabidi wapigane Vita kamili ambayo bunge haikubariki. Ndo maana wanasema hii ni Vita vya Putin.. Mwisho wa siku Urusi itatumia hela tena kuijenga Ukraine kwa mjibu wa sheria za Kimataifa. Hii Vita Mrusi hatoboi sababu wamegawanyika.
 
Back
Top Bottom