figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,601
Eti hivi ndivyo Ujerumani inaisaidia Ukraine🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma Sana...Silaha aina MLRS za Marekani. Ndo mzigo mpya Marekani wanapanga kuleta Ukraine. Wachambuzi wabasema, huu mzigo ni balaa. Utabadilisha game. Nawaonea huruma Urusi.
View attachment 2240634View attachment 2240635
Balaa zito wazee wa kazi wanarudi upya. Hii vita bado ngumu sana Urusi wajiandae zaidi.Wakuu, baada ya Azov kuzidiwa nguvu kuke Mariupol, sasa wameanza kujinoa upya kwa technology na Vifaa vipya. Hawa ni Azov Battalion.. Weka mbali na watoto. Bado wiki moja wahitimu.
View attachment 2249839
Hii ni ya marekani mkuu sio?Wale walokuwa wanaulizana kwanini warusi wanaogopa MLRS, na kutaka kujua ni Silaha gani, waangalie hii Video
View attachment 2250663
Hiki "kidonge" au kwa kipare "Tablet" kinaenda kuwa kichungu sana kwa Mrusi. Cjui kama ataweza kukimeza.😭Wale walokuwa wanaulizana kwanini warusi wanaogopa MLRS, na kutaka kujua ni Silaha gani, waangalie hii Video
View attachment 2250663
Hii ni silaha ya Kimarekani aina ya M270 MLRS battery. Ina uwezo wa kupiga zaidi ya km 300. Na short range yake ni km 70.Hii ni ya marekani mkuu sio?
Urusi hawamuelewi Putin. Bunge lilipitisha mpango wa kufanya Operation Ukraine ambayo ilishindwa. Kuficha aibu ikabidi wapigane Vita kamili ambayo bunge haikubariki. Ndo maana wanasema hii ni Vita vya Putin.. Mwisho wa siku Urusi itatumia hela tena kuijenga Ukraine kwa mjibu wa sheria za Kimataifa. Hii Vita Mrusi hatoboi sababu wamegawanyika.Hiki "kidonge" au kwa kipare "Tablet" kinaenda kuwa kichungu sana kwa Mrusi. Cjui kama ataweza kukimeza.😭