Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kuna hiki kikundi kinamsaisia Urusi kinaitwa Chechen. Hawa ni raia wa Chechnya.Wao wanafanya propaganda na Uongo wa hali ya Juu. Mambo kama haya huwezi yafanya mbele ya Azov, wanakutuo roho. Hapa ni sehemu ambayo haina mapigano, ndo wanafsnya hivi ili wapost Social media. Wanapenda sifa balaa
View attachment 2217446
Hahahaa hao Azov ndio wanaanza saiz pole mkuu hao ni wahuni hatari vitani america anawajua hao ndio maana hatii mguu
 
Huyu ndiye alikua mkuu wa like kindi la Wagner group.Ni kundi katili Sana inasemekana ni la Putin.
Ni kundi la Wanajeshi wa kukodiwa. Ukiwataka wanakaja. Ni hela yako tu. Wamepigana sehemu mbalimbali.
 
Hawa Warusi walikuja kubeba majeruhi wao waingizwe kwenye Kifaru. Kabla hawajakifikia kifaru kikalipuliwa. Ila Urusi wanajua kukimbia na wanaogopa Risasi. Utadhani sio wale wanaojisikia Mitandaoni eti wana mafunzo🤣🤣🤣
 
Meya kasema Mji wa Severodonetsk tumeshaurudisha mikononi mwa Ukraine
1654665855473.png
 
Hapa ndio utajua Warussia ni watupu saana kuanzia logistics, Planning, vision, mission na hata moral
Inatia huruma sana, Vitani wanatakiwa wawe na bags za kuwekea maiti, Mtu akifa anaingizwa kwenye begi zuri zipu inafungwa safi.
So sad, sasa huyo General mshahara wake unaweza kuwa shs ngapi? Inaonyesha uduni sana wa maisha.
 
Back
Top Bottom