Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia Sniper wa Ukraine alivyo mtungua Mrusi. Warusi wana hali mbaya sana.
 
Kuna Wanajeshi wa kukodia wa Urusi jana wamekufa kwenye kambi yao. Inadaiwa wanajeshi wa Urusi kati ya 250 hadi 300 wamekufa. Bado natafuta Video. Japo Video ya kambi kulipuliwa ipo. Hapa ni Stakhanov. Wamekufa binadamu wengi wa Urusi, wengine wamesambaratika kabisa.
 
Screenshot_20220610-160602.png
 
Waoneeni huruma wa ukraine, according to raisi wao yule comedian ni kuwa kwenye uwanja wa vita kila siku wanapoteza wanajeshi 200!
 

Ukraine imesema imefanya precision strikes kweye base ya Wagner ( Private Russian Military Contractors)
Wamekufa kama mia 200 ivi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Urusi wapumbavu. Wanachoma moto hadi mazao. Aibu.. Wakizidiwa wanaharibu mazao, wanabomoa majengo, wanamwaga vyakula maxiwa na vingine wanaiba. Aibu yao
 
Yaani wiki hii Roho yangu nyeupe kabisa. Kwa kipigo cha jana ambapo Tumeua Warusi na Washirika wao 300+. Na leo tumeendeleza ubabe. Tumejua kuwanyoshwa Warusi.🤣🤣🤣
 
Napost picha za Waeusi wakiwa Wamepumzika ili kuwakera pro Urusi. Ili tunaposema Urusi wanakufa, wawe wanaelewa. Hizi picha ni za kuwaumiza Warusi. Wamekuwa wakinitukana.. Niliacha kabisa kupost picha za wafu wa Kirusi, ila sababu wanakuwa wanatukana, nimeamua nimalize wiki kwa kupost picha za kuwauma kama majibu kwa matusi yao.
IMG_20220610_182240_509.jpg
IMG_20220610_182228_016.jpg
IMG_20220610_182223_561.jpg
IMG_20220610_182216_738.jpg
IMG_20220610_182204_596.jpg
IMG_20220610_182158_694.jpg
IMG_20220610_182153_782.jpg
IMG_20220610_182130_627.jpg
IMG_20220610_181918_804.jpg
IMG_20220610_181835_988.jpg
IMG_20220610_181830_116.jpg
IMG_20220610_181616_755.jpg
IMG_20220610_175344_519.jpg
IMG_20220610_175340_056.jpg
IMG_20220610_175336_353.jpg
 
Back
Top Bottom