Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wamekufa hawa. Urusi wapambane na hali yao. Hatujawaita waje Ukraine
20220609_133424.jpg
 
Kifaru kinavyo fichwa
 
Hapa ni ni Mkoani Kharkov. Na hizi ni Brimstones tulizopewa na UK
 
Putin anadai Generals wake hawafanyi kazi vizuri, hajui wanazidiwa mbinu. So kuwafukuza haisaidii kitu.
Sasa akiwafukuza anapata wapi wengine wa kupigana Vita? General ni mtu mwenye mafunzo mengi na uzoefu wa miaka mingi, inasaidia nini kuwafukuza sasa hivi?
 
Amechanganyikiwa hajui afanyeje.🙄
Ona Sasa anaongeza Mtaji kwa Ukraine. Labda awaweke kizuizini vinginevyo wakijiongeza wanaweza kujiunga upande wa Ukraine.Hapo ndipo atajua alikuwa Hajui kwani hao wanafahamu siri nyingi sana za jeshi la Urusi. Ole wake.
 
Sasa akiwafukuza anapata wapi wengine wa kupigana Vita? General ni mtu mwenye mafunzo mengi na uzoefu wa miaka mingi, inasaidia nini kuwafukuza sasa hivi?
Kuwafukuza sasa hivi inasaidia sana ufanisi zaidi kwa Ukraine kwani hawatakuwepo tena jeshini au mstari wa mbele kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukraine lakini zaidi watakuwa huru wachague nini cha kufanya binafsi na ni wapi pa kwenda e.g.wataweza kujiunga upande wa Ukraine. Hiyo ni Fursa kwa Ukraine. Kufa kufaana.
Ni wapi atapata wengine atajua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom