SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Naona mpo busy mnapeana moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu elimu yako tafadhali make hiki ulichokiandika...😓😓😓.....Huu mzigo tulipewa na Jamhuri ya Czech.......
Sasa akiwafukuza anapata wapi wengine wa kupigana Vita? General ni mtu mwenye mafunzo mengi na uzoefu wa miaka mingi, inasaidia nini kuwafukuza sasa hivi?Putin anadai Generals wake hawafanyi kazi vizuri, hajui wanazidiwa mbinu. So kuwafukuza haisaidii kitu.
Amechanganyikiwa hajui afanyeje.🙄Sasa akiwafukuza anapata wapi wengine wa kupigana Vita? General ni mtu mwenye mafunzo mengi na uzoefu wa miaka mingi, inasaidia nini kuwafukuza sasa hivi?
Ona Sasa anaongeza Mtaji kwa Ukraine. Labda awaweke kizuizini vinginevyo wakijiongeza wanaweza kujiunga upande wa Ukraine.Hapo ndipo atajua alikuwa Hajui kwani hao wanafahamu siri nyingi sana za jeshi la Urusi. Ole wake.Amechanganyikiwa hajui afanyeje.🙄
Kuwafukuza sasa hivi inasaidia sana ufanisi zaidi kwa Ukraine kwani hawatakuwepo tena jeshini au mstari wa mbele kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukraine lakini zaidi watakuwa huru wachague nini cha kufanya binafsi na ni wapi pa kwenda e.g.wataweza kujiunga upande wa Ukraine. Hiyo ni Fursa kwa Ukraine. Kufa kufaana.Sasa akiwafukuza anapata wapi wengine wa kupigana Vita? General ni mtu mwenye mafunzo mengi na uzoefu wa miaka mingi, inasaidia nini kuwafukuza sasa hivi?