figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,721
Zelensky baada ya Kushukuru Nchi za Ulaya, awashukuru pia Azov. Hawa jamaa wana mbinu nyingi za Kivita. Hata wale wa Mariupol wangepata Silaha nzuri Mapema, Mrusi angechezea kichapo tu. Mtu ana kifaru lakini anakitelekeza na kukimbia kwa miguuš¤£š¤£