figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #2,761
Mshahara wa dhambi ni mautiKambi ya Wagner ilivyo chakazwa
View attachment 2256472View attachment 2256473View attachment 2256474View attachment 2256475
Wamekufa kama mia 200 iviUkrainian military carried out a precision strike on Wagner base at stadium in Kadiivka, Luhansk governor says
Ukraine’s army has destroyed a base used by mercenaries from Russia’s Wagner private military company in the Russian-occupied town of Kadiivka (formerly Stakhanov) in Luhansk Oblast, the region’s governor said on June 10.english.nv.ua
Ukraine imesema imefanya precision strikes kweye base ya Wagner ( Private Russian Military Contractors)
Hawa wamefia wapi?ndani ya Urusi?
Aisee
Hapana Mkuu, baada USSR kuanguka, baadhi ya maeneo yalibadilishwa majina. Hapa ni Stakhanov (Kadiivka au Kadiyevka) Mkoani Luhansk Nchini UkraineHawa wamefia wapi?ndani ya Urusi?
Yaani km 7....aiseeHii ni Bunduki aina ya Snipex T-Rex. Inatengenezwa Ukraine na unaweza kupiga umbali wa Mita 7000
View attachment 2256317
Na Mrusi wangapi? in order to balance the equation.Waoneeni huruma wa ukraine, according to raisi wao yule comedian ni kuwa kwenye uwanja wa vita kila siku wanapoteza wanajeshi 200!
Yaani Huamini au unaona ni exaggeration?Yaani km 7....aisee
Yaani kama ndiyo hivyo.....sidhani kama mrusi atashinda vita hii labda waamue kumuachia kwa huruma majimbo hayo mawiliYaani Huamini au unaona ni exaggeration?
Mrusi Hastahili huruma hata kidogo kwani timbwili kalianzisha mwenyewe na kwa hiyo majimbo yoooote anyang'anywe kabisa yarudi Ukraine na pia alipie uharibifu wote aliousababisha Ukraine.Yaani kama ndiyo hivyo.....sidhani kama mrusi atashinda vita hii labda waamue kumuachia kwa huruma majimbo hayo mawili