figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #2,801
Warusi walizan Ukraine ni kwa mjomba wao yani wanakula kichapo Alizini, Angani , na kwenye maji atuwapi nafasi kabsaView attachment 2257680
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Basi unajiona Mjanja uongo? Acha upuuzi.Alizini ndio wapi mkuu [emoji41]
Sasa hizi zinapigana kwenye mazingira gani na range yake ipoje Mana ni kama maajabu
Wanajeshi kitoka sehemu mbalimbali waliojitolea kuipigania Ukraine
View attachment 2158118
Hebu wahakikishe hayo mabomu yanatua Russia eti...maana baada ya vita mozoga ya warusi itakuwa inanuka ndani ya nchi hiyo
Hahahaha. Mkuu; Wananchi wavumilie kidogo kwani mizoga Itanuka kwa muda tuu lakini baadaye itakuwa ni mbolea nzuri kwenye ardhi ya nchi hiyo na harufu mbaya haitakuwepo tenaπ.Kazi iendelee.Hebu wahakikishe hayo mabomu yanatua Russia eti...maana baada ya vita mozoga ya warusi itakuwa inanuka ndani ya nchi hiyo
Na nadhani baada ya vita hii alizeti itavunwa mno...maana siyo kwa mafuta hayo...π π π π π πHahahaha. Mkuu; Wananchi wavumilie kidogo kwani mizoga Itanuka kwa muda tuu lakini baadaye itakuwa ni mbolea nzuri kwenye ardhi ya nchi hiyo na harufu mbaya haitakuwepo tenaπ.Kazi iendelee.
Mkuu sijaweza kujua range yake. Ila hii ina uwezo wa kufanya kazi kwenye Jangwa(Mchangani), kwenye Theruji, Kwenye Maji. Pia ina uwezo wa kupanda Magorofa marefu kwa kutumia ngazi kwa haraka. Inapunguza Vifo, kama kuna sehemu mnahisi kuna adui, mnaituma roboti inaleta taarofa. Ina Camera nne zote zinazunguka 360Β°. Inaweza tuma Signals kwa umbali wa Mita 1000. Pia inafanya kazi mchana na Usiku sababu usiku inaona kama nyau tu. Kimbuka majini ni kama samaki. Inavuka mtoSasa hizi zinapigana kwenye mazingira gani na range yake ipoje Mana ni kama maajabu
π πNa nadhani baada ya vita hii alizeti itavunwa mno...maana siyo kwa mafuta hayo...π π π π π π
Mkuu Figganigga; What is not happening? Update Leo 13/06/2022 hamna?π π