Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

800px-SWORDS_robot.jpg
TALON-3.jpg
Foster-Miller_TALON_SWORDS.jpg
Gladiator_240G.jpg
800px-ARV-A-L.jpg
Raptor_headset-Warfighting_Experiment_2020_MOD_45166941.jpg
Embedded_World_Leopardo_2_UGV_01_(02).jpg
 
Jamaa waoga balaa, Walipoona kifaru kimoja kimebondwa, badala ya kusaidia, wao wakageuza na kukimbia
 
Hebu wahakikishe hayo mabomu yanatua Russia eti...maana baada ya vita mozoga ya warusi itakuwa inanuka ndani ya nchi hiyo
Hahahaha. Mkuu; Wananchi wavumilie kidogo kwani mizoga Itanuka kwa muda tuu lakini baadaye itakuwa ni mbolea nzuri kwenye ardhi ya nchi hiyo na harufu mbaya haitakuwepo tena😀.Kazi iendelee.
 
Hahahaha. Mkuu; Wananchi wavumilie kidogo kwani mizoga Itanuka kwa muda tuu lakini baadaye itakuwa ni mbolea nzuri kwenye ardhi ya nchi hiyo na harufu mbaya haitakuwepo tena😀.Kazi iendelee.
Na nadhani baada ya vita hii alizeti itavunwa mno...maana siyo kwa mafuta hayo...😅😅😅😅😅😅
 
Sasa hizi zinapigana kwenye mazingira gani na range yake ipoje Mana ni kama maajabu
Mkuu sijaweza kujua range yake. Ila hii ina uwezo wa kufanya kazi kwenye Jangwa(Mchangani), kwenye Theruji, Kwenye Maji. Pia ina uwezo wa kupanda Magorofa marefu kwa kutumia ngazi kwa haraka. Inapunguza Vifo, kama kuna sehemu mnahisi kuna adui, mnaituma roboti inaleta taarofa. Ina Camera nne zote zinazunguka 360°. Inaweza tuma Signals kwa umbali wa Mita 1000. Pia inafanya kazi mchana na Usiku sababu usiku inaona kama nyau tu. Kimbuka majini ni kama samaki. Inavuka mto
 
Ukisikia Frontline ndo ipo hivi
 
Huyu ndo Msemaji wa Wanajeshi wanaojitolea Ukraine. Anaitwa Damien Magrou, amesema kuna watu kutoka mataifa 55 wamekuja kusaidia Ukriane. Watu wanaojitolea Ukraine wamepewa Kikosi chao, kinaitwa International Legion. Kina Makomando wengi sana.
20220614_152051.jpg
 
Back
Top Bottom