mkuu nenda kwenye ule uzi wenye live update achana na huu utopoloMkuu tunashukuru Sana kwa kuendelea kutuletea updates za vita ya Ukuraine ubarikiwe Sana.Vipi mapambano yanayoendelea Donabos unayaonaje Mana ndo yatakayoamua muelekeo wa vita
Kaingia mitini. 😂Tu
Tunamsubiri aje mkuu.
Kule mmejazana wahuni wauza kahawa vijiweni.mkuu nenda kwenye ule uzi wenye live update achana na huu utopolo
Wazinguaji sana wengi ni team diamond na kiba wamejaa matusi tu.Kule mmejazana wahuni wauza kahawa vijiweni.
Habari ikiletwa from BBC,CNN wanasema propaganda wakati wao wanatumia source za group za telegram sasa hapo utajua hawa hamna kitu.
Mkuu wapi ulitukanwaWazinguaji sana wengi ni team diamond na kiba wamejaa matusi tu.