Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
mkuu nenda kwenye ule uzi wenye live update achana na huu utopoloMkuu tunashukuru Sana kwa kuendelea kutuletea updates za vita ya Ukuraine ubarikiwe Sana.Vipi mapambano yanayoendelea Donabos unayaonaje Mana ndo yatakayoamua muelekeo wa vita