Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mbwa wetu kajeruhiwa Frontline. Alikuwa akinusa Warusi walipo. Ila atapona tu, kalazwa na doctor kasema anaendelea vizuri.
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajifanya kukimbilia mitaani. Tumepata mbinu mpya ya kuwafukuzia Warusi
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu Vitani kuna mambo mengi. Kuna siku ya kufurahi na siku ya kusikitika. Frontline ni kifo ama Uhai. Leo tumepoteza mazima. Tangu Vita ianze, sijawahi kushuhudia wanajeshi wetu wanakufa kwa wakati mmoja sehemu moja. Tumepoteza wanajeshi wetu 8 ndani ya nusu saa kwenye handaki moja. Imeniuma sanaa... Hadi mood imeisha. Wapumzike kwa amani. Haijalishi Urusi wamekufa wengi kiasi gani. Tukipoteza inaniuma sana. Hawa watano waliosalia wamejitetea hadi Urusi wakakimbia. Wangetumaliza. Vita ina mengi
Your browser is not able to display this video.
 
M
Maeneo gani au Donetsk
 
Hapa ni Popasna na hili Lori ni Kamaz ya Warusi
Your browser is not able to display this video.
 
Captain Serhii Ponomarenko kawa Shujaa na kupewa tuzo, baada ya kupambana na Warusi wenye vifaru 20 na kuwashinda akiwa na vifaru 6 tu. Na hakuna kifaru chake kilichoharibiwa. Huku Kikosi chake kikifanikiwa kuharibu vifaru 9 vya Urusi.
 
Tumeteka Kifaru cha Urusi aina ya MT-LB kikiwa na hali nzuri. Kinatembea chenyewe
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Kherkyiv. Urusi tumewapelekea moto balaa..
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…