Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani kaka unavyoeka posti zako kana kwamba Ukraine washashinda vita.
 
Ile Kontena ilokamatwa leo imeshatambuliwa. ni EW system - 1RL257 Krasukha-4, inafanya kazi kuunganisha radars na satellites. Hili Kontena limetekwa leo 22 Machi 2022 na Jeshi la Ukraine karibu na Mji wa Kyiv.
 
Kama Marekani ndio mchokozi, kwa nini Putin hashambulii Marekani au angalau memba wa NATO hasa wanaopakana na Ukraine au Urusi km Poland inayotumika kuingizia silaha?

Kuibomoa Ukraine haitasaidia kitu. Ukraine itajengwa upya, uchumi wa Urusi utazidi kuathirika na NATO bado itaendelea kuwa mlangoni na tishio kwa Urusi.
 
Angalia Urusi kilichowakuta jana tarehe 22 Machi 2022 walipojaribu kuingia Mkoani Sumy. Picha ambazo hazionekani vizuri, zoom ifit kwenye kifaa chao
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Mkulima anaendelea kujiokotea Vifaa vya Ukraine. Sasa ana Vifaru zaidi 20 nyumbani kwake magari ndo usiseme. Anasema anampango wa kuviuza vita ikiisha. Je, atamuuzia nani? Leo nawapa Video za huyu Mkulima anayejiokotea magari na Vifaru vya Urusi.

Mkilala kidogo tu anakuja anaondoka na kifaru au Tigr ya Urusi 🤣🤣Yeye anakuja na Trekta na kuvuta magari ya Urusi yalokwama au kuishiwa mafuta hata vifaru. Anapeleka kwake. Anadai cha kuokota si cha kuiba
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna huyu Mkulima wa Ukraine. Yeye huwa sehemu mapigano yakishaisha anaenda kuokota vifaa vilivyoachwa. Kashapata Vifaru Magari mengi sana. Helkopta na Rada moja ndo alishindwa kuvuta akaita Jeshi la Ukraine limsaidie. Anadai Vita ikiisha, vifaa hivyo vitamsaidia kwenye kazi zake za Kilimo.

Hapa chini nitawawekea Video chache akiwa anavuta Vifaa vya kijeshi vya urusi akivipeleka nyumbani kwake.

Je Vita ikiisha Watanmyang'anya?

Wengine wanasema Ukraine farmer ni kikosi cha siri kilinachotumiwa na Serikali. Ila yeye anadai yupo mwenyewe na Vifaru vingine anakuta vina mafuta so anayafaulisha. Wengine wamedai kaanza kuviliuza nchi zenye mapigano kwa bei chee.

Angalia fujo zake hapa
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.

Hii Rada alishindwa kuivuta

Wananchi wa Ukraine wote ni kama wanajeshi tu. Hawa waliiba kifaru cha Urusi aina ya BTR-80/82A. Haijajulikana wanakipeleka wapi. Japo baadayw inaonekana kama wamekupeleka Shambani. Nadhani ni kulima.
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya BTR-80/82A kuifikisha Shambani
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa wakulima wa Vosnesensk waliwapiga ambushi Urusi. Wakaboa vifaru vyote kwa kutumia NLAW anti-tank
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Mkoa wa Mykolaiv Oblast, Wanajeshi wa Ukraine wametaka vifaru na kuondoka navyo. Aina ni BREM-1 armored recovery vehicle na IMR-2 military. Vyote vya Urusi.
Nawawekea majina ili mkagugo angalau mpate abc ya aina ya zana za kivita na ubora wake.
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi gari aina ya Tigr-M IMV za Jeshi la Urusi nitakuwa sizipozt tena. Zishatrkwa zaidi ya 200. Hii gari inauzwa $270,000.
 
Magari yanayosambaza maji chakula na risasi kwa Maheshi ya Urusi yakiwa yanawaka moto. Jeshi la Ukraine limejutahidi sana
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Mariupol, Urusi wamepoteza a BTR-82A armored personnel carrier, T-72B tank and presumably BMP-3 IFV. Hongera kwa jeshi la Ukraine
 
Hiki kifaru kilicho sambalatishwa hapa ni aina ya T-72B. Hapa ni viunga vya Kyiv Oblast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…