Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nasikia wameamuliwa kutoka wote ndani ya huo miji wa Severodonetsk je ni mbunu ya kijeshi au vipi lakini akili yangu inaniambia labda ni mbinu ya kijeshi labda wanataka kutumia silaha nzito kuhalibu jeshi la Urusi.
Severodonetsk tumezidiwa. Majeshi ya Ukraine Wameretreat. Sababu kwenye ule mji Frontline wa Urusi washakamata 80% ya Mji, Ukiendelea kukomaa kinachofuata ni vifo.
 
Nasikia wameamuliwa kutoka wote ndani ya huo miji wa Severodonetsk je ni mbunu ya kijeshi au vipi lakini akili yangu inaniambia labda ni mbinu ya kijeshi labda wanataka kutumia silaha nzito kuhalibu jeshi la Urusi.
Kuna uwezekano huo
 
Kuna uwezekano huo
Vitani kuretreat ni jambo la kawaida. Wanarudi nyuma kujipanga ili wavamie upya. Sehemu tumezirudisha baada ya kuretreat. Ila Wakuu, hizi HIMARS, zimekuja kubadilisha game kwenye hii Vita. Hadi Jana Urusi wameshambuliana wenyewe kwa wenyewe. Na wameuana. Wamepambana masaa sita wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…