figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,161
Severodonetsk tumezidiwa. Majeshi ya Ukraine Wameretreat. Sababu kwenye ule mji Frontline wa Urusi washakamata 80% ya Mji, Ukiendelea kukomaa kinachofuata ni vifo.Nasikia wameamuliwa kutoka wote ndani ya huo miji wa Severodonetsk je ni mbunu ya kijeshi au vipi lakini akili yangu inaniambia labda ni mbinu ya kijeshi labda wanataka kutumia silaha nzito kuhalibu jeshi la Urusi.