Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kifaru aina ya 9A39M1 TEL (for the Buk-M1-2 SAM system) cha Urusi, hapa ni Kyiv Oblast.
 
Siku ya pili sasa Urusi wameshindwa kupenya Odessa🤣🤣🤣. Wamejaribu kutumia Makombora kutokea baharini yote yakadakiwa hewani kabla hayajatua.
Your browser is not able to display this video.
 
Wananchi wa Odessa wamajiandaa kwa hali na mali pindi Warusi watakapo jaribu kuingia kwa Njia ya Ardhini.

Huu ni mji muhimu ambao Urusi wanautafuta kwa Udi na Uvumba. Wananchi wa Odessa washapewa silaha, wanakusanya mchanga na kuweka kwenye mifuko ili kujijengea ngome. Angalau kila mtu aondoke na Mrusi.

Odessa ni Mji wa tatu kwa Ukubwa Ukraine. Upo Pwani(Black Sea) Urusi wanaamini wakiuteka, itakuwa rahisi kwao kuingiza vifaa vya Jeshi. Kuliko Vifaa viingilie Beralus hadi Vifike Odessa sio leo kwani ni. Umbali zaidi ya 1031KM kwa barabara
 

Attachments

  • twitter_20220324_074138.mp4
    899.6 KB
Odessa wanajiandaa kwa Vita.
Your browser is not able to display this video.
 
Tarehe 24 February Urusi walijifanya kuingia Odessa kwa Miamvuli. Walidumu masaa kadhaa tu. Walikimbia wakaacha vitu. Sasa tangu jana wamerudi tene kupitia baharini😂😂😂. Nawapongeza Wananchi wa Odessa kwa ukakamavu wao wa kuwanyang'anya Silaha warusi haraka haraka.
Your browser is not able to display this video.
 
Helkopta ya Urusi aina ya Mi-35M ikadondoshwa maeneo ya Odessa. Warusi walikuja Ukraine wakijua wanaenda shamba la Bibi
 
Mabaki ya ndege ya Urusi aina ya Sukhoi Su-34 yameonekana Odessa. Iliteketea kabisa.
 
Hizi ni Tor missile systems za Urusi sasa zipo Mikononi mwa Ukraine. Hizi ni short-range surface-to-air missile system
 
Hii Helkopta ya Urusini ni aina ya Mil Mi-35
 
Hii ndege vita ya Urusi haijajulikana imeanguka yenyewe au imeangushwa
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…