Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mapigano ya hapa yatakuwa deadly, Urusi hatapaachia kirahisi
Kila kitu mipango. Atapaachia tu. Leo ⅓ ya vifaa tumeviharibu. Tusubiri Usiku wa leo Zelensky atafanya nini. Mpango ni kuirudisha kisiwa
 
Unaambiwa ukrain wamepigwa na mrusi huko mpaka wakaambiwa kimbieni muwaachie mji mtakufa......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…