Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mapigano ya hapa yatakuwa deadly, Urusi hatapaachia kirahisi
Kila kitu mipango. Atapaachia tu. Leo ⅓ ya vifaa tumeviharibu. Tusubiri Usiku wa leo Zelensky atafanya nini. Mpango ni kuirudisha kisiwa
 
Unaambiwa ukrain wamepigwa na mrusi huko mpaka wakaambiwa kimbieni muwaachie mji mtakufa......!
 
Wabunge wa Marekani waliwasilisha mswada kuhusu mafunzo kwa marubani wa Ukraine.

Sasa Marekani kuanza kutoa mafunzo kwa marubani na wafanyakazi wa Ukraine kwenye F-15, F-16 na ndege nyingine.
IMG_20220624_212035_874.jpg
 
Back
Top Bottom