Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Watu walikutwa na Wanajeshi wa Urusi kwenye supermarket ya Mariupol, Wakauliwa wote. Hamna mwanajeshi hata mmoja hapa. Warusi wakiwa Frontline wanaua kila mtu. Ndo wanaotetea Waruso wajue wanatetea nini. Warusi wanaua wazee na Watoto, muhimu kwao ni kama ni Raia wa Ukraine. Ukishasema ni raia wa Ukraine wanakuua. Ndo maana nasimama na Ukraine.
View attachment 2243435
duh!...
 
Ninemmiss kiongozi wa Azov. Mlingoti chuma bendera chuma. Akisimama na Zelensky anaonekana kama mtoto
IMG_20220628_191024_685.jpg
 
Back
Top Bottom