figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh!...Hawa Watu walikutwa na Wanajeshi wa Urusi kwenye supermarket ya Mariupol, Wakauliwa wote. Hamna mwanajeshi hata mmoja hapa. Warusi wakiwa Frontline wanaua kila mtu. Ndo wanaotetea Waruso wajue wanatetea nini. Warusi wanaua wazee na Watoto, muhimu kwao ni kama ni Raia wa Ukraine. Ukishasema ni raia wa Ukraine wanakuua. Ndo maana nasimama na Ukraine.
View attachment 2243435
[emoji120][emoji120][emoji120] Burdani Baridi Barafu
Humans can adapt and stay resilience to almost everything.Ukiona Mabomu yanapigwa na Watu hawakimbii tena, jua Urusi hatoboi
View attachment 2275801
Wamechanganyikiwa kama rais wao comedian solder.Ukraine washazoea Makombora
View attachment 2276020
Wamechanyikiwa kama mjomba wako wa Dar.Wamechanganyikiwa kama rais wao comedian solder.
Comedian SoldierWamechanyikiwa kama mjomba wako wa Dar.