Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wamesalimu amri pale Snake island, Kuna Howitzer zimepakiwa kule mainland zinatandika kale kakisiwa Hadi warusi wamesurrender, wamekimbia wote.

Kuondokakwa Russia kukikacha Kisiwa cha snake Island kwa jeshi la Urusi kutoka Kisiwa cha snake island inamaanisha kuwa hakika hakutakuwa na kutua huko Odesa.

Russia wepesi tu Kama wameshindwa kulinda Kisiwa kidogo Kama Snake island, hawataweza Tena kufika Kyiv.

Wamepwaya.... Leo Tena wametema bungo... Wamerudisha mateka wa kibao wa Mariupol.

We are winning on this.View attachment 2277659
Mkuu, tusaidie uwe unatuwekea picha na maelezo kidogo sababu hili ni Jukwaa la Picha.
 
Helkopta za Ukraine aina ya Mil Mi-24 zikishambulia Frontline ya Urusi kwa kutumia Missiles
 
Wanajeshi wa Ukraine wakiwa wamevaa Vest za Uturuki. Hizi Vest zililetwa msaada
20220701_110721.jpg
 
Kuna ule msafara wa kuelekea Kyiv walienda Kama wacambodia au Wavietnam yaani waliingia wazima kwenye ambush ambayo hata jeshi la Congo alikutoi salama... Satellite zinamuona na Kyiv wanaona.

Kilichofuata walitaandikwa ambush moja tu hadi na project ikaishia pale pale... Kiimya

Logistics ya kupeleka tu Chakula na vifaa vya matibabu ilikuwa shida very unorganized and unprofessional army.

Unajua kila mtu anashangaa Mrusia kwa Hii vita kajivua nguo saana kwa jinsi amavyostruglle na dogo.
Na hapo US anaweka kambi yake kubwa au Makao Makuu Poland.... Maaana yake Poland hawezi vamiwa kirahisi

Marekani kwenye logistics yuko vizuri ndo maana hata Afghan aliweza hamisha watu 10000 ndani ya masaa 24

Marekani wanajeshi wake wanakula hadi burgers
 
Baada ya Mifumo ya Gharama ya Kivita ya Urusu kuhariviwa vibaya katika Snake Island, Urusi wameamua kuretreat. Sasa Ukraine kuanza kusafirisha mazao kupitia bandari ya Odessa.
20220701_111339.jpg
 
Angalia Ukraine walivyo tumia Silaha za Kisasa kuwafurusha warusi na kutelekeza Mitambo yao Kisiwa cha Snake
 
Warusi wameanza kuondoka kwenye kisiwa cha Snake. Ni baada ya kushindwa kuyazuia Makombora ya HIMARS [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2278059
Hii vita Urusi asiposalenda atapata hasara kubwa Sana .Baada ya hiki kisiwa kukombolewa nasikia kinachofuata ni Crimea .Donabos muda sio mrefu inakombolewa
 
Back
Top Bottom