figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,361
Hii ndo Frontline
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ziqnaingia kibabe hatari
Mkuu, tusaidie uwe unatuwekea picha na maelezo kidogo sababu hili ni Jukwaa la Picha.Wamesalimu amri pale Snake island, Kuna Howitzer zimepakiwa kule mainland zinatandika kale kakisiwa Hadi warusi wamesurrender, wamekimbia wote.
Kuondokakwa Russia kukikacha Kisiwa cha snake Island kwa jeshi la Urusi kutoka Kisiwa cha snake island inamaanisha kuwa hakika hakutakuwa na kutua huko Odesa.
Russia wepesi tu Kama wameshindwa kulinda Kisiwa kidogo Kama Snake island, hawataweza Tena kufika Kyiv.
Wamepwaya.... Leo Tena wametema bungo... Wamerudisha mateka wa kibao wa Mariupol.
We are winning on this.View attachment 2277659
Na hapo US anaweka kambi yake kubwa au Makao Makuu Poland.... Maaana yake Poland hawezi vamiwa kirahisiKuna ule msafara wa kuelekea Kyiv walienda Kama wacambodia au Wavietnam yaani waliingia wazima kwenye ambush ambayo hata jeshi la Congo alikutoi salama... Satellite zinamuona na Kyiv wanaona.
Kilichofuata walitaandikwa ambush moja tu hadi na project ikaishia pale pale... Kiimya
Logistics ya kupeleka tu Chakula na vifaa vya matibabu ilikuwa shida very unorganized and unprofessional army.
Unajua kila mtu anashangaa Mrusia kwa Hii vita kajivua nguo saana kwa jinsi amavyostruglle na dogo.
Ila warusi wana dhana mbovu mnoBaada ya Mifumo ya Gharama ya Kivita ya Urusu kuhariviwa vibaya katika Snake Island, Urusi wameamua kuretreat. Sasa Ukraine kuanza kusafirisha mazao kupitia bandari ya Odessa.
View attachment 2278062
Hii vita Urusi asiposalenda atapata hasara kubwa Sana .Baada ya hiki kisiwa kukombolewa nasikia kinachofuata ni Crimea .Donabos muda sio mrefu inakombolewaWarusi wameanza kuondoka kwenye kisiwa cha Snake. Ni baada ya kushindwa kuyazuia Makombora ya HIMARS [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2278059