Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii vita Urusi asiposalenda atapata hasara kubwa Sana .Baada ya hiki kisiwa kukombolewa nasikia kinachofuata ni Crimea .Donabos muda sio mrefu inakombolewa
Ivi niulize Urusi mpaka sasa anashikiria majimbo mangapi ya ukrainr
 
Angalia Wavamizi wa Urusi wanavyokimbia Kifaru chao baada ya kufurumushiwa Makombora
 
IMG_20220702_070114_031.jpg
 
Back
Top Bottom