Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

IMG_20220702_204109_345.jpg
 
Viongozi wa Juu wa Kijeshi wa Belarus kuanzia ngazi ya Captain hadi Colonel, wamwandikia Barua Rais Wao kwamba hakuna faida ya kujihusisha na Vita ya Urusi na Ukraine. Ukiona hivi jua wamegoma kimsaidia Mrusi
View attachment 2279595
Hivi huyu Lukashenko haoni hatali iliyopo mbele yake Mana kajisahau Sana .Unawezaje kumsaidia mtu ambae unajua kabisa hii vita haishindi? Maana kuanguka kwa Putin ndo anguko lake pia .Muda wake Naona umeisha ndo Mana kaamua liwalo na liwe
 
Hivi taifa linalojisifu lina nguvu, limeshindwajie kuulinda Mji wa Belgorod? Tangu jana una unalipuliwa tu. Urusi hawamini.
 
Sababu ya Mkoa wa Belgorod kushbuliwa, ni baada ya Urusi kuishambulia Kharkiv kutokea Belgorod. Tutaendelea kuwashambulia popote walipojificha.
 
Hiki ni kifaru cha Urusi aina ya BTR-82A APC kikiwa kimepakwa rangi za Ukraine. Tulikiteka sasa tumelirudisha Frontline safari hii kikitumiwa na upande wa Ukraine sio Urusi tena.
 
Back
Top Bottom