figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii history 2 inabid nirudi darasani tena niisome maana hiki kisa sikifahamu kabisaaaWashaanza, hii vita haitaishia Ukraine tu. Kumbe Urusi Mashariki ni Ulaya. Hadi hapo kwenye Milima. Urusi waliichukua kibabe so ibabidi irudi.
View attachment 2278811
Snake Island wameondoka na kuacha mifumo kibao ya ulinzi wa angaUpo sahihi. Sasa hivi Urusi wanajilinda wasinyang'anywe maeneo walioyashika. So Ukraine sasa ndo yashambulia... Soon wataanza kirudi nyuma.. Wiki hii hawajasogea kabisa. Hakina kikosi kilichoadvance zaidi ya Km 10.
Kichapo kikubwa hadi mwenyewe kakubali kapigwaMkuu vipi Belgorod huko nimeona wamepata kichapo figganigga
Jomba nchumali! Una habari lakini kwamba Donbass yote imeshabebwaa au unajamba jamba humu na kithread chako cha kujijibu mwenyewe! Ebu nenda DW, bibisii...ukapate updates kidogo mjomba
Jomba nchumali..una habari lakin kwamba donbass yote imeshabebwaa au unajamba jamba tu humu na kithread uchwara chako cha kujijibu mwenyewe? Wahi kule bibisii na dibabuliyuu upate upadates baas
Hiyo mifumo haijachakachuliwa mkuu? isijeikawa ni hatari ya kudukuliwa mambo zenu. 🙁Snake Island wameondoka na kuacha mifumo kibao ya ulinzi wa anga
Mkuu, Inapambania upande gani - Urusi au Ukraine?Hii Battalion inaitwa Bob Marley. Sijawahi kuipost
View attachment 2280143
Na mbado.😀Kichapo kikubwa hadi mwenyewe kakubali kapigwa
Labda wamempa nusukaputi. Anatabiri yajayo yanafurahisha zaidiHuyu Mrusi Kaja kufanya nini Ukraine mbona analala sasa?
View attachment 2279919