Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ndo maana Azov hawapendi Mateka, Wanaua tu. Halafu Warusi Wazito balaa🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa ni Warusi, ona wanavyoogopa. Walimiminiwa risasi hadi wakakoma. Ilibidi wakimbie hawa wanaharamu🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wanayaka nunua MLS SHIELD armored vehicles 11 kila gari litapewa jina lake. Majina yenyewe ni; Hulk, Spiderman, Wolverine, Thor, Punisher, Captain America, Deadpool, Ghost Rider, Rocket Racoon, Venom

 
Hizi silaha zinamnyima usingizi saana Mrusia zinatwanga usiku kucha na hazikosei target.

Afu kinawaka usiku tu, mchana Kama sio wao wa Ukraine.

Urusi anazitaka kwa gharama yeyote sema Ukraine wananmfichia kete Yani wakipiga Leo hapa wanahamisha mzigo Hadi zones nyingine. Usiku wanatwanga Tena.

Mrusia atakubali tu!
 
Ghala lingine la Silaha za Urusi linateketea Usiku huu huko Luhansk. Wiki hii Urusi watanyoka.
Your browser is not able to display this video.
 
Hazipaswi kosea maana zenyewe ni gmlrs. Hapo US ampe UA ammunation za kutosha ma intel zakutosha ili crimea bridge ibomolewe
 
Nimegundua kwamba, hizi HIMARS 4 hazijaja Ukraine kuua wanajeshi wa Frontline bali zinafanya kazi ya kuharibu Maghala ya Silaha na Risasi ili Frontline waishiwe hadi Maji ya kunywa.

HIMARS zinatia hasara kubwa kubwa. Kombora lilikukuta kwsnye ghala umekwenda na maji. Naona upelelezi unaofanyika sasa ni kutambua wapi kuna ghala la Silaha. Then wanatuma mzigo. Haikosei wala kubahatisha.
 
Hazipaswi kosea maana zenyewe ni gmlrs. Hapo US ampe UA ammunation za kutosha ma intel zakutosha ili crimea bridge ibomolewe
Hii ni Muhimu. Lile daraja lina Urefu wa 18km. As long as Georgia, Uturuki wanatuunga Mkono. Tunaweza libomoa kutokea angle yoyote. Ndo maana juzi walikuwa wanafanya mazoezi ya kulinda daraja kwa kutumia Moshi, mwisho wa siku wakagongana wenyewe.

Urusi walichokosea ni kuachia kis8wa cha Snake. Sababu sasa hivi Ukraine itatawala Bahari yote ya Black na Azov.

Just subiri uone itakavyokuwa. Urusi wameshajua Daraja linakwenda na maji kabla ya Kuirudisha Crimea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…